Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,592
- 18,641
Ghalama ndio changamoto kwa hizi kampuni za USA, maaana wanatumia Volumetric weight (W*L*H) sambamba na uzito halisi wa kituGuys nmecheki kwenye shipping calculator kwa baadhi ya sites zilizotajwa hapo juu ni gharama sana kuship even a package ya 0.5 kg, mfano Comgateway gharama ya kuship 0.5kg ni around 77 USD
Nimeanzisha hii huduma, ya kusafirisha mizigo kama wafanyavyo myus, comgateway, usaddress n.k
Mimi natumia uzito halisi wa kitu kukokotoa ghalama ya kusafirishia, na sio volumetric weight, hivyo ghalama kuwa ndogo
na hizi ndio ghalama zangu.
Mfano:
a) 0.1 - 0.5kg Gharama ya kusafirisha ni USD 15
b) 0.6 – 1kg Ghalama ya kusafirisha ni 27.14 USD
c) 1.1kg – 1.5kg Gharama ya kusafirisha ni 38.94 USD
d) 1.6kg – 2kg Gharama ya kusafirisha ni 50.74 USD
Utaongeza USD $7.5, kwenye viwango tajwa hapo juu, kama my service charge.
Ghalama za kusafirishia utalipa baada ya mzigo kuondoka nchi husika, iwe ni DUBAI, USA, UK, CHINA, JAPAN, GERMAN, THAILAND n.k, Pia waweza kuwasiliana nami na kuomba ulipie ghalama za shipping baada ya mzigo kufiaka Tanzania.
Je nini unatakiwa kufanya.
1. Wasiliana nami ili nikupe ADDRESS yako ya nchi husika - mfano DUBAI, USA, UK, CHINA, JAPAN, GERMAN, THAILAND n.k
2. Anwani nitakayokupa ndio utajaza kama shipping address yako katika website kama AMAZON, 6PM nk
3. Nitakupa (a) ghalama ya kusafirisha mzigo na (b) tracking number ya mzigo pindi mzigo umepokelewa na unasafirishwa toka Nchi husika kuja Tanzania.
4. Mzigo wako utaupokea DSM wewe mwenyewe au nitapokea na kukutumia mahala ulipo - kama upo mkoani
Mawasiliano
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: +255 (0) 625 955 137 au 0784 496 856
2. Barua Pepe (Email): mw1rct @ outlook.com
3. Whatsapp: +255 784 496 856
4. Skype: mw1rct
5. Telegram: @mw1rct au 0784496856
6. JF PM
- Thread ya rejea: www.v.ht/buy4me