Posta dar wezi. Mzigo unatumwa mara 2 ukaona fika dar haujulikani umepotelea wapi
 
jamani tofautisheni kat ya debit card na credit card, kuwa na card yenye nembo ya mastercard ama visa card haimaniish ni kuwa unaweza kufanya online transaction. kuna card ambazo zimekuwa linked na mastercard ama visa card lakini huwez kufanya transaction online kwani zile ni debit card na sio credit card. debit unaweza kutumi kwenye ATM yeyote inayokubaliana na mtandao husika (mastercard ama VISA) bila kujali bank yako ama kulipia vitu kwenye merchant devices kama zile POS za kwenye supermarket . ila online transaction huwez fanya , credit card ndio unaweza fanya transaction online
labda ni Tanzania tu ndio credit card-mimi huku natumia Debit Card kwa ebay purchases mwaka wa sita sasa- Ebay ingetegemea credit card isingeweza fikia success iliyo nayo
 
Habarini wakuu..naomba mnipe elimu ya jinsi ya kufanya payment online kutumia paypal..na jinsi ya kufanya manunuzi kupitia ebay na alibaba..na usalama wake kwa ujumla kwenye online payments
 
jamani tofautisheni kat ya debit card na credit card, kuwa na card yenye nembo ya mastercard ama visa card haimaniish ni kuwa unaweza kufanya online transaction. kuna card ambazo zimekuwa linked na mastercard ama visa card lakini huwez kufanya transaction online kwani zile ni debit card na sio credit card. debit unaweza kutumi kwenye ATM yeyote inayokubaliana na mtandao husika (mastercard ama VISA) bila kujali bank yako ama kulipia vitu kwenye merchant devices kama zile POS za kwenye supermarket . ila online transaction huwez fanya , credit card ndio unaweza fanya transaction online
Sasa Mimi nimeshaenda CRDB na Nimejaza Fomu zao na Nimetumiwa Msg kuwa Card Yangu Imeshasajili (Ipo active for Online shopping) sasa Kuna Link wametumia Ya Kuisajili na VERIFIED BY VISA

JE HICHO KITU NI LAZIMA au Niende Pay pal Moja kwa Moja
 
mkuu ni lazima ukaiactivate hiyo card yako online, biila ya hivyo hata hao paypal hawataikubal, fuata melekezo uliyopewa jinsi ya kuiactivate
 
Habarini wanajukwaa,
Naomba wenye uzoefu wa kununua bidhaa online kupitia Amazon na Alibaba wanielekeze.
Tayari nimesha jiregister. Ninataka kununua simu Amazon naomba kujuzwa kuhusiana na usalama wa hii mitandao, namna ya kulipia na usafirishwaji wa mzigo mpaka kumfikia muhusika.

Natanguliza Shukrani
 
Cha kwnza lazima uwasiliane na benki yako kwanza.... Katika suala la usalama ni salama ila benki yako ndo watakupa maelezo zaid. Kwa mfano kwa crdb lazima kuna fomu ujaze ili uweze kutumia hizo huduma.. Ila kua makinitu katika manunuz yako...
 
Habari wadau!

Natumai wote mu wazima! Leo nina ombi ambalo nahitaji msaada wenu wazoefu au mtu yeyote mwenye uelewa juu ya hili!

Nataka kuanza biashara ya vitu vya Electronics, as I was busy searching for a better source of a Supplier, I come across this very famous trade site alibaba.com

Swali langu ni Je? hawa watu ni reliable? Kuna mtu yeyote ameshafanya ordering na Supplier kupitia Alibaba?

Tafadhali nitashukuru kama mtanipatia msaada!

Thank you in advance!

The most challenging decision ever, is to determine whether to walk away or try more harder
 
Habari za asubuh...alibaba ni internet platform inayowaunganisha wafanyabiashara na wanunuzi. Kwenye alibaba kwa wasanii vile vile, kuna hatua unaweza kuchukua kuminimize risk ya fake item na wasanii, mfano usitume malipo kwenye western union, communicate kutumia company email address etc
 
Mimi natumia alibaba na naagiza kila mwezi mizigo ka meli au ndege Inategemea na aina ya mizigo. SI KWELI KAMA kutuma western ni tatizo, muda wote mpaka sasa natumia western union na pia wire transfer. Kwa zaidi ya 80% suppliers wa Alibaba ni halisi hakuna Utapeli hata kidogo.

Kuna, ni wewe tu how you negotiate nao na aina ya bidhaa utakazo. Their trustworthy kabisa, vitu muhimu unaangalia kwa supplier pale alibaba ni kuwa ana nembo ya trade assurance, pili kama ni gold suppluer wa miaka kadhaa kuanzia mmoja nk. Endelea kufanya biashara.

More info itanicheki kwa wakati wako..
 
Mimi natumia alibaba na naagiza kila mwezi mizigo ka meli au ndege Inategemea na aina ya mizigo. SI KWELI KAMA kutuma western ni tatizo, muda wote mpaka sasa natumia western union na pia wire transfer. Kwa zaidi ya 80% suppliers wa Alibaba ni halisi hakuna Utapeli hata kidogo.

Kuna, ni wewe tu how you negotiate nao na aina ya bidhaa utakazo. Their trustworthy kabisa, vitu muhimu unaangalia kwa supplier pale alibaba ni kuwa ana nembo ya trade assurance, pili kama ni gold suppluer wa miaka kadhaa kuanzia mmoja nk.

Endelea kufanya biashara. More info itanicheki kwa wakati wako..
 
Babaanyi ikupendeze elezea kidogo na Amazon na nyinginezo km ebay please. Na mimi nataka kuzitumia moja hizo site ila i want to be more careful to minimize hasara zisizo za lazima. Thanks in advance
 
Babaanyi ikupendeze elezea kidogo na Amazon na nyinginezo km ebay please. Na mimi nataka kuzitumia moja hizo site ila i want to be more careful to minimize hasara zisizo za lazima. Thanks in advance
Mimi sunawahi tumia eBay, natumia Alibaba tu. Ukiwa akibaba kila supplier wana nembo ZA trade assurance na limit ya pesa alibaba anazikugurantee kufanya nae kazi., pia ni vema udeal na supplier ambaye ni gold member, ikiwezekana supplier akutumie video clip ya office yake, na ukitaka bei nzuri deal na supplier ambaye ni manufucturer, na wanajionesha pale.

Ndio ni kweli ukituma pesa alibaba wao wenyewe ndipo wamlipe suppllier sawa, but mzunguko mrefu labda kama huna haraka, na pia ukimtumia supplier mwenyewe sawa na nirahisi sana kwa uharaka. Mimi Mara zote namtumia supplier tu. Na Mimi na washirika wangu hatujawahi experience utapeli wowote. Anyway more ukihitaji zaidi nicheki...
 
TRA wanasemaje kwenye sector hii?? Hasa kipindi hiki cha Magufuli?
 
Wire transfer na Western Union mie sio muhubiri wa njia hizi za malipo kwa kweli..... Mie natumia ebay mwaka wa 4 huu sasa na cjawahi kuzinguliwa coz malipo via PayPal ni salama zaidi... Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom