JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

Well,
Kama Preta alivyotoa introduction hapo, ni kwamba jana 02.11.2013 tulikaa kama Kamati Ya Matumizi na kupanga hilo ishu.

Wana Chuga kawaida ni watu wa BIG RESULTS NOW, na huwa hatucheleweshi Upelelezi.

Kama kawa Intelijensia yetu imesoma kwamba MZA panalipa, kwahiyo wanabodi wakakubaliana kwamba tusababishe MAJANGA pande za Rock City!...kwani nini bana!!

Haya wana Mwanza, andaeni Mapanki ya kutosha...Mabillionea wa Mererani a.k.a 'Manyoka' a.k.a Machalii wa Manta wanazuka mtaani kwenu.

Kawekamo mpooo?
 
Last edited by a moderator:
Mwanza ni Mwanza jamani! sijawahi juta kuishi Mwanza! mnanikumbusha kitu cha SATO, FURU, NEMBE, Mambo ya SATO ya kuchoma unachezea Mwanza wewe, tukutane wadau
 
Kwani hilo ni jina jipya?

Kwa umri wangu huu wote na uzoefu wangu na maeneo yote ya Ng'wanza (Mwanza), hapa sikia hilo jinal...

Labda kama kuna watu wameamua kuvipa hivyo visamaki promo..

Babu DC!!

Babuuuu..... Hizi ni zama za digital ujue????

Haya ukija utaziona!!!
 
Well,
Kama Preta alivyotoa introduction hapo, ni kwamba jana 02.11.2013 tulikaa kama Kamati Ya Matumizi na kupanga hilo ishu.

Wana Chuga kawaida ni watu wa BIG RESULTS NOW, na huwa hatucheleweshi Upelelezi.

Kama kawa Intelijensia yetu imesoma kwamba MZA panalipa, kwahiyo wanabodi wakakubaliana kwamba tusababishe MAJANGA pande za Rock City!...kwani nini bana!!

Haya wana Mwanza, andaeni Mapanki ya kutosha...Mabillionea wa Mererani a.k.a 'Manyoka' a.k.a Machalii wa Manta wanazuka mtaani kwenu.

Kawekamo mpooo?

Karibuni sana wana Arusha Wing... Huku kuna mabilionea wa samaki....

Fursa zipo za kutosha wadau!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hii vakesheni itakuwa ya ukweli sana, lazima nitie timu pale NYEGEzi
 
Njooni niwapeleke UKEREWE kuna historia ya kutosha tu zitakazowakonga nyoyo
 
Duh...... itabidi nicancel safari yangu ya mapumziko. Nilikuwa nimepanga mwezi wa 12 tar hizo niwe pale Tanga sehemu inaitwa Mwambani nikila upepo wa bahari kwenye kemp zile za wakatoliki.
 
Naunga mkono hoja, mie huyookwa Thinkpard!
Pamoja sana Preta!

Mkuu yaani hizi mishemishe za Mwanza nilikuwa nije Tanga mwezi 12 tar 2 .... mchana niwe nashinda pale tulipokutana afu jioni huyooooooo Mwambani.
Ila kwa huu ugeni safari ya Tanga ntaisogeza mbele.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yaani hizi mishemishe za Mwanza nilikuwa nije Tanga mwezi 12 tar 2 .... mchana niwe nashinda pale tulipokutana afu jioni huyooooooo Mwambani.
Ila kwa huu ugeni safari ya Tanga ntaisogeza mbele.

Isogeze mbele bana.... Ujue hii haiji mara mbili eeeh... Wakija Tunza, Lavenna, Charcoribs zitawahusu saaanaaa!!!!!!
 
Back
Top Bottom