JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

haya sasa.........muda ndio kama hivyo unayoyoma..........nani kaingia......nani katoka.....nani kapanda........nani king'ang;anizi...........
 
Itinerary......
27/12.......Kufika Mwanza jioni........dinner and dance.......

28/12.......09:00 kufika kisiwa cha Saanane, half day gamedrive,
baada ya hapo kurudi mjini kwa chakula
cha mchana, town tour kidogo then beach hotel kwa mapumziko na
kubadilishana mawazo na wenzetu wa Mwanza watakaojumuika nasi
Jioni Dinner and kula bata ile mbaya

29/12.......Kuiaga Mwanza na kurudi makwetu

Karatiba kamekaa vizuri sana!
Cant wait!!!!!
 
[/FONT][/SIZE][/COLOR]Itinerary......
27/12.......Kufika Mwanza jioni........dinner and dance.......

28/12.......09:00 kufika kisiwa cha Saanane, half day gamedrive,
baada ya hapo kurudi mjini kwa chakula
cha mchana, town tour kidogo then beach hotel kwa mapumziko na
kubadilishana mawazo na wenzetu wa Mwanza watakaojumuika nasi
Jioni Dinner and kula bata ile mbaya

29/12.......Kuiaga Mwanza na kurudi makwetu

[/QUOTE]

ratiba murua.....siku naona chache
 
[/FONT][/SIZE][/COLOR]Itinerary......
27/12.......Kufika Mwanza jioni........dinner and dance.......

28/12.......09:00 kufika kisiwa cha Saanane, half day gamedrive,
baada ya hapo kurudi mjini kwa chakula
cha mchana, town tour kidogo then
beach hotel kwa mapumziko na
kubadilishana mawazo na wenzetu wa Mwanza watakaojumuika nasi
Jioni Dinner and kula bata ile mbaya

29/12.......Kuiaga Mwanza na kurudi makwetu

ratiba murua.....siku naona chache[/QUOTE]

Hiyo red inanifanya nione tar 27/12 ni mbali sana! I hope charminglady ameshaandaa logistic za burudani na Honey Faith ameshatengeneza makao! brenda18 nitakuwa nae kwa burudani "just in case!"
marejesho najua hana tatizo!
 
Last edited by a moderator:
wacha weeee........halafu hali ya hewa itakuwaje kipindi hicho......?

Sasa Preta hiyo Itinerary naona imetimia na kuna suala la kupumzika maeneo ya beach nadhan hapo kunakostume maalum za maeneo hayo sasa lol!
Ngoja nicheki na mme wangu Rejao kupata mustakabali wa kostum za ufukweni lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom