Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Mkuu mimi ni kiongozi wa jumuia!
kaka J eeeeh, hiyo ni aina ya samaki mkuu.... Tusiandike mate wino upo njoooooooooo!!!!!
Na mie nimeanza kutamani hiyo kitu! Niandalie vya kutosha na kama inawezekana unifungie!
Naam Filipo hautakuwa peke yako maana charminglady ataniandalia.na mimi
karibu sn tunawasubiria kwa hamu muwe mnatupa update
Naam Filipo hautakuwa peke yako maana charminglady ataniandalia.na mimi
Mkuu mbona nawe ile muda ulitoweka kimya kimya?
Mkuu.viliumana nikasambaratika chaap chap sana.ila pamoja sana mkuu
amu usitie hamu sana mkuu....atakuja kwa mpango maalum