Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,113
Huyo Elizabeth Dominic mbona ametangulia kuniandalia makao!! Labda mwingine!
Kumbe hakunidanganya, hata mimi kanambia anafanya asainment ya Filipo
Last edited by a moderator:
Huyo Elizabeth Dominic mbona ametangulia kuniandalia makao!! Labda mwingine!
Oooh maamaaaah!
I hope nitakuwa maeneo ya Rocky city.
hata miye ninahamu........
Napita tu....
Hapana Babu hadi kipenga cha mwisho kipulizwe......hakatwi mtu
Kwa huu mshangao nahisi umekumbuka kile kisa kilichokutukia huko Mwanza hahahha...
Mamaaaa.... Yaan ukikosa nakugaya!!!!
Ukitia tu mpira kwapani walahi Mwanza sikuji...
Mamaaaa.... Yaan ukikosa nakugaya!!!!
Huyo Elizabeth Dominic mbona ametangulia kuniandalia makao!! Labda mwingine!
![]()
Nani ataleta mchezo nami baunsa niko hapa?
Wewe daddy ake mwanafudenge mbona unakuwa mpashkuna?
Hebu punguza uchokozi mkuu.....
Mbona keshasema kuwa atakuwa live had mwisho wa match??
May be kama unahofia kuwa refa ndiyo anaweza kutimua mbiyo za Kipepe...
Babu DC!!
Babu hawa wajukuu zako mimi nawajua bila kuwatilia chambo ka hivyo walau wanakuchomesha mahindi...