Hapa nikajibiwa kua naweza kupiga kura hata asipokua mzoefu wa MMU.
So we don't count this.
This is one.
Then Husninyo akamnukuu, na akasema:
So this is two (Husninyo has continued to support EMT throughout the post)
Then nikarudi tena leo hii (baada ya kumpromote sana jana):
So this is three.
Nikanukuliwa na Taz, before the closing of the votes, this evening:
So this is four
Kumbe mwanzo kabisa Mkuu Boss alikua amesha mpigia kura:
So this is five.
Na ukiangalia, hakuna alie sema King of MMU, rather most of us specifically said MAN of the year, au KWA WANAUME.
Mkuu, sileti ubishi na tume, nataka tu msome tena kwa makini ili election ziwe fair. naona mmejitahidi sana katika transparency ila nadhani mlipitiwa kidogo katika kuhesabu kura (wengine walipiga kwa kunukuu) na mlichanganya category. But I trust your judgement and your tolecance to criticism.