JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

natangaza kumpa kura yangu
EMT-JF Man of the year
MBU-King of MMU

AshaDii-JF Woman of the year
AshaDii-Queen of MMU..

Mwenyekiti note my Poll
 
Uamuzi wa Tume Juu ya Majina yatakayoingia Fainali na Kupigiwa Polls kwa maana kuwa Wameshinda Kura Za Maoni na Sasa tunawashindanisha kwa Polls ili kupata Mshindi wa kila Category ni:

Overall JF Man of The Year 2011
1. BAK – Kura 4
2. Aspirin – Kura 2


Overall JF Woman of The Year 2011
1. Ashadii – Kura 11
2. FaizaFox – Kura 3

King of MMU 2011
1. Mbu – Kura 5
2. The Boss – Kura 6

Queen of MMU 2011
1. Lizzy – Kura 8
2. Ashadii – Kura 7


JF She Male of The Year 2011
1. Kongosho – Kura 5

NB: Kongosho kwa kuwa yuko peke yake, atapigiwa kura ya NDIYO au HAPANA.

Naomba sasa niwakaribishe nyote kusherehekea ushindi wao na kuwapa pongezi wakati tunaendelea na maandalizi ya mchakato wa upigaji kura.
​



Ayaaaa! Yani nimeambulia kura mbili tu?

Yaani ile ya mai felo tablet na ya demu wangu Kongosho.

Ile ya mkwe wangu Fixed Point na ya kajukuu kapya MwaJ ziongezewe kwenye kinyang'anyiro cha neksti yia.

Baada ya kusema hayo, hivi mwenyekiti wa JEC katiba hamruhusu kupiga kura? Naomba kura yako Cheamani, hiyo laki yako tutagawana.
 
natangaza kumpa kura yangu
EMT-JF Man of the year
MBU-King of MMU

AshaDii-JF Woman of the year
AshaDii-Queen of MMU..

Mwenyekiti note my Poll

Slow down Manyanza, bado tumalize Appeals. safari hii ni POLLS za kweli na majibu yatakuwa yanaonekana LIVE.

Hakuta kuwa na malalamiko hakika.
 
Ayaaaa! Yani nimeambulia kura mbili tu?

Yaani ile ya mai felo tablet na ya demu wangu Kongosho.

Ile ya mkwe wangu Fixed Point na ya kajukuu kapya MwaJ ziongezewe kwenye kinyang'anyiro cha neksti yia.

Baada ya kusema hayo, hivi mwenyekiti wa JEC katiba hamruhusu kupiga kura? Naomba kura yako Cheamani, hiyo laki yako tutagawana.

Mkuu, acha kuituhumu kura Ki-Diplomasia kuwa imechakachua kura zako. lol

Elezea post number zote ambazo umepigiwa kura zihakikiwe. Tume inapenda kutenda Haki Bin haki!
 
Babu Asprin;

Mwenyekiti ni Mwanademokrasia halisi. Ana imani na Wagombea wote. Atakayeshinda ndiyo chagu la wote including mwenyekigoda.
 
Slow down Manyanza, bado tumalize Appeals. safari hii ni POLLS za kweli na majibu yatakuwa yanaonekana LIVE.

Hakuta kuwa na malalamiko hakika.
Wee wee weeee nshaona fitina zakokiasi fulani zinafanikiwa
Sasa ngoja niuNde zengwe
 
Wee wee weeee nshaona fitina zakokiasi fulani zinafanikiwa
Sasa ngoja niuNde zengwe


Mkuu wangu bht, hakuna fitna hapa, ni Haki Bin haki tu!

Wasalaam Aleykhum lakini. Huyo Mwanao hajambo eeh! Mamake yu wapi?
 
Mkuu, ningepiga kura ningesukiwa zengwe kuwa nambeba mgombea wangu.

Sijapiga kabisa.

Nilishtuka kidogo niliposoma hapo juu kwamba atakayeshinda ni chaguo la wote ''including mwenyekigoda''.
Ila so far so good.Hongera kwa kazi nzuri.
 
hivi kampeni mbona hazizinduliwi?

Kuna watu wangu humu nataka kupiga kampeni like za mwaka.

Hapa niko full charged and recharged.
(ila 10% msinisahau)
 
Nilishtuka kidogo niliposoma hapo juu kwamba atakayeshinda ni chaguo la wote ''including mwenyekigoda''.
Ila so far so good.Hongera kwa kazi nzuri.

Haaa haaa Mkuu pamoja sana Kamanda!
 
hivi kampeni mbona hazizinduliwi?

Kuna watu wangu humu nataka kupiga kampeni like za mwaka.

Hapa niko full charged and recharged.
(ila 10% msinisahau)

Mmmh! Babu yuko kwenye King'ang'anyiro. Ila tunatubiri rufaa ya EMT huenda akachinjiliwa mbali na kura zake 2.
 
bht mie na wewe ni kama samaki na maji kama si hapa basi kwingine lazima ukumbukwe hehe
Please forgive me.i hope uko powah sana weekend ya leo.
Aah mi na wewe mshipa na damu hasa...lol! Niko pouwa.
 
Unaona aibu kusema kwa sababu nafsi yako inakusuta...
Heri usiseme maana naweza kukupa jibu ukajikuta unasahau mchakato wa uchaguzi....
Uliona jana Bishanga kapata la 'random guy'?
BHT hivi husahaugi aisee?
Naona umeamka nayo aisee!
Watu washamalizana kwenye M-Pesa usiku wa leoleo, we bado unakomaa..huh!
We hushangai NN ameamua kujilalia na amekuwa mpole ghafla!
Hivi ulikuwa na kamisheni pasenti ngapi vile?
 
Unapo swichi ofu usiyotumia inaingia ndani au inabaki nje ikiwa visible niko interested na hii mechanism.

Mkuu umeshawahi kuona picha halisi ya hii maneno?

images
 
BHT hivi husahaugi aisee?
Naona umeamka nayo aisee!
Watu washamalizana kwenye M-Pesa usiku wa leoleo, we bado unakomaa..huh!
We hushangai NN ameamua kujilalia na amekuwa mpole ghafla!
Hivi ulikuwa na kamisheni pasenti ngapi vile?
Sisahaugi mimi, kama mtoto...lol
M pesa wapi PJ hajatuma wala nini! Kama ni kutumwa lazima ipite kwangu, tena sasa hivi anadaiwa na interest kabisa maana hiyo kilo ishazaa faida.
Ngabu katulia kwa sababu kaniachia hiyo kazi ya kukusanya madeni, pasenti wee usiulize si unaona nilivokomaa?
 
Back
Top Bottom