Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,143
- 884
tena wao wenyewe hunisaidia kuziingiza ndani
nayo ni burudani tu.
Sawa maba au sijui niseme kada,anyway mkuu nimekuelewa nisije nikapata mchanganyiko wa mawazo.
tena wao wenyewe hunisaidia kuziingiza ndani
nayo ni burudani tu.
Duh!!Hii magazijuto ndiyo naiona leo.Kusema za ukweli hii ndio avatar inayomfaa kongosho au hata profile picture.
Sisahaugi mimi, kama mtoto...lol
M pesa wapi PJ hajatuma wala nini! Kama ni kutumwa lazima ipite kwangu, tena sasa hivi anadaiwa na interest kabisa maana hiyo kilo ishazaa faida.
Ngabu katulia kwa sababu kaniachia hiyo kazi ya kukusanya madeni, pasenti wee usiulize si unaona nilivokomaa?
Mkuu, ni Utata Usipime. Hebu angalia picha halisi hapa JF Doctor!
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=3176&d=1230555192
Mimi ninachoiambia tume mapema kabisa ni kwamba haya matokea nitayapinga mahakamani kwa sababu ya msingi kwamba katiba yetu imesiginwa mchana kweupeee....katiba inasema kila MTU ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa....sasa kuihakikisha haki hiyo, kwa nini nimekataliwa haki ya mgombea binafsi, kwa njia ya self nomination? Hili nadhani tutakutana Kisutu.....nawasiliana na wanasheria wangu hapa wanaandaa makabrasha....
So we are not done yet...:A S embarassed:
Mkuu ni haki yako hasa baada ya kupata ile kura moja.
Tuonane Mahakamani: Wanasheria wa Tume Ruta na Jessa watakuwa wanakusubiri. Sisi tunasubiri kuzindua Kampeni za Uchaguzi sasa.
Mkuu umeshawahi kuona picha halisi ya hii maneno?
![]()
Ujue Supamani if you push me too much, ule ushahidi namwaga jamvini badala ya kukuletea huko tume magumashi yakoNN kaishia kwa kuwa ameona maji marefu:
1. Maxenxe kamapatia risiti za pesa yake akawa hana hoja
2. Pili ni Celebrity wa Mwaka uliopita na sheria zinambana - kakubali yaishe
3. Zatu alichakachua kura na ID zake za msituni, tume ikamwita akanubali na kuomba msamaha. Ndo maana kawa mpole.
Angalia usije ukapotezwa Mkuu. Mjini hapa!
Hapo juu umesema na Jussa yupo kwen wanasheria wako?
Mimi wanasheria wangu siwataji maana mnaweza kuwacompromise....si unajua amrefarii engine huwa hawasemi hadi siku ya mechi
sasa na suala la EMT lipo mezani.....huu uchaguzi lazima urudiwe kwa amri ya mahakama...
Unacheza wewe!Ujue Supamani if you push me too much, ule ushahidi namwaga jamvini badala ya kukuletea huko tume magumashi yako
Jana hadharani Ngabu kampigia Max na akakuruka futi mia kuwa hukumpa
Halafu wee bana sijui vipi, tulielewana vizuri saa tena unanitibua.
Ushaweka mkoko mfukoni eeh?
Ujue Supamani if you push me too much, ule ushahidi namwaga jamvini badala ya kukuletea huko tume magumashi yako
Jana hadharani Ngabu kampigia Max na akakuruka futi mia kuwa hukumpa
Halafu wee bana sijui vipi, tulielewana vizuri saa tena unanitibua.
Ushaweka mkoko mfukoni eeh?
Unacheza wewe!
Huna ushahidi wowote, that much iam sure!
Mwenzio alizilamba jana, sasa hivi hata ukim'DIPU' hakupigii ng'o!...labda umfuate kwake.
Kama ni ushahidi kajaribu mtu anitwa MWALI, lakini 'Tume adhimu' imemwonyesha wazi kuwa haikuwekwa kwa ubabaishaji, bali iko kikazi zaidi!..Hoja zake zimepanguliwa moja baada ya nyingine, na mwenyewe kaamua kusaini matokeo.
SASA wewe endelea kuchoma mahindi hapo!
Tatizo unajipimia, lazima ujipendeleeMkuu Uadilifu 100% hapa!

Tatizo unajipimia, lazima ujipendelee
Ngoja nikalale, nikamka ntakua nimeamua mkakati mzuri.
Mkuu Superman,Mkuu Wangu Mwali:
Tume bado iko wazi kupokea malalamiko na rufaa zote. Kama hujaridhika unachotakiwa kufanya sasa ni kuielekeza tume iende Post Number Ngapi ili kupata ushahidi. Pia ni vema EMT Mwenyewe akatoa neno kama amekubali kushindwa au ana hoja za rufaa na ni zipi.
Asante sana.
Mwenyekiti - JEC