JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Safari hii, nitatangaza Mshindi nikiwa kwenye Defender ya Police. Sitaki kilema mie au kufa mapema.

Wapiga kura wa safari hii ni noma.

unapotezea deni la wenyewe...

bora mi si mpiga kura, usipotimiza masharti yangu naziharibu zote. nipo njiani nakuja huko kwa Kivuitu
 
"Kwao"? Yaani "kwao" pamoja au?

aah sio pamoja bana, kwao kila mtu na 'kwao' yake

Ngabu acha uchokozi...Mwali hapendi ujue, ohoo. Akianza kulia utambebea mbeleko gani wewe?
 
Hip hip hooraaaaay....Mwali kanigongea laiki!

Labda EMT is on his way
 
Mbona Mwali na EMT wako kimya sana? Just curious...
Saa hizi ni saa za chit chat, sisi tunaingia night shift. Nimegundua JF by night ina utamu wake.
halafu hayo ya "kwao" msilete hapa, mnataka kumchafulia candidate wangu image bure!
 
Oh yeah...graveyard shift ina raha yake bana.

Wee si unaona jana tulivyojiachia na Mwajuma hapa....yaani full bata mwanzo mwisho!
 
Saa hizi ni saa za chit chat, sisi tunaingia night shift. Nimegundua JF by night ina utamu wake.
halafu hayo ya "kwao" msilete hapa, mnataka kumchafulia candidate wangu image bure!

kandideti wako hana kwao??
 
aah sio pamoja bana, kwao kila mtu na 'kwao' yake

Ngabu acha uchokozi...Mwali hapendi ujue, ohoo. Akianza kulia utambebea mbeleko gani wewe?
Bht mzima?
Mimi candidates wangu:
  • Man and woman of the year: EMT and AshaDii, kwa michango yao, na the way the interact with members
  • Queen and King of MMU: Lizzy and NN kwa namna yao ya kujichanganya na members na the way we miss them wakiwa 'likizo' au wakiamua kujipumzisha.
Waonaje hapo?
 
  • Thanks
Reactions: Taz

mie simo kabisa kwenye kwenye huu mchakato ni mpinzani kabisa...lol

ila nina insurable interest...(usiniulize kwa nani maana sitajibu)
 
Ungesema KwaoS ionekane ni plural ya kwao. yeye ana kwao, na mimi nina kwetu. lol

hahhaaa kiswanglish na sheng mie sijui bana

mmmh na wewe mbona EMT akitwaja unaruka kimanga hivo??????????????? (just a candidate?)
 
Hip hip hooraaaaay....Mwali kanigongea laiki!

Labda EMT is on his way

ni mmoja wa wale watu who don't like to be compared to others,
and as a matter of fact this is just what elections are about.
So, usitegemee candidate wetu atakuja hapa
 
Back
Top Bottom