Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,280
- 219,516
Kwa ajili ya polisi wa Tanzania ! 😆😆😆Kuna Mwamba anajiita Erythrocyte huko Akiko Nahisi atakuwa anajinyea kabisa kwa kusikia Habari hii...
CDM acheni usaniii kabisa
Kwa ajili ya polisi wa Tanzania ! 😆😆😆Kuna Mwamba anajiita Erythrocyte huko Akiko Nahisi atakuwa anajinyea kabisa kwa kusikia Habari hii...
CDM acheni usaniii kabisa
Akitupia ni tag mkuuTupia picha yake tuthaminishe
Ushaambiwa ni mzazi mwenzake ebu jiongeze basiHivi mbowe hanaga mke?
Huyu Joyce mukya ni nani ,hawara ?
CCTV CAMERA FOOTAGE ZINASEMAJE??
Mbowe anakiaribu chama,Kadri siku zinavyozidi kusonga ndivyo Chadema inavyozidi kuwa Chama cha kitototo Sana na cha kijinga Sana
Ni lazima hawa ni wa kuambia ukweli ili Pengine ukweli uwasaidie
Hovyo sans
Cctv je?Kwa hiyo ulitaka waseme kapigwa hata hajapigwa. Kama unahakika kapigwa unaweza kuthibitishia umma pia. Maana hao majirani hawawezi kudanganya.
Mbowe inabidi azitoe tuone alivyopigwa si ziko kwake auMbona hawajazungumzia footage ya cctv camera ? Au waliona hakuna haja ya kuangalia cctv,
By the way wamenata na biti
Ndugai aliharibu upelelezi since day one
@Pascal Mayalla jitenge na hii serekali ya kihuni!Duh...!.
P
Hawezi kuonyesha hizo mana Mbowe atajiumbua mwenyeweCctv je?
Iliamriwa Mbowe auawe , ni bahati mbaya haya hayakutimia , sasa bila hivi Murrotto alikuwa anaondolewa Dodoma , imebidi atoe maelezo ya Ndugai ili abakiHapa tu ndio penye kila kitu. Sasa nazidi kupata shaka na huu ushahidi wa kuzunguka wakati kuna CCTV Cameras, na Bado hazitumiki kwenye ushahidi wa tukio hili!
Kila mtu atalipwa kiasi anachostahiliwakati unakuja utatamani urudishe mda nyuma ila haitawezekana nawahurumia polisi wapenda najua sio wote wanaopenda kudanganya watu
Hizi CCTV si zipo kwa Mbowe azitoe awaonyeshee umma UKWELI...Hapa tu ndio penye kila kitu. Sasa nazidi kupata shaka na huu ushahidi wa kuzunguka wakati kuna CCTV Cameras, na Bado hazitumiki kwenye ushahidi wa tukio hili!
Hana access na control roomMbowe inabidi azitoe tuone alivyopigwa si ziko kwake au