Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Kadri siku zinavyozidi kusonga ndivyo Chadema inavyozidi kuwa Chama cha kitototo Sana na cha kijinga Sana

Ni lazima hawa ni wa kuambia ukweli ili Pengine ukweli uwasaidie

Hovyo sans
Mbowe anakiaribu chama,
Huipendi CCM hata uchague upinzani,je utachagua chama gani?hakuna wote wapiga dili
 
Wakati unakuja utatamani urudishe mda nyuma ila haitawezekana nawahurumia polisi wapenda najua sio wote wanaopenda kudanganya watu
 
Back
Top Bottom