Mshawa
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 776
- 306
eti huna michepukoKama huna michepuko ..basi hongera sana ..unastahiki kuwa mfano wa kuigwa ..kama jinsi ambavyo nilivyo mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee inabidi babu harusi awe kambale kwa muda mpaka siku zipitemara nyingi nimeona walio olewa wakibadiri namba, lengo ni kuachana na ya nyuma (mawasiliano ya kibwege na marafiki wa kinaa) na kuanza maisha mapya.
mimi huwa najiuliza wakat wa kuchagua tar. za ndoa huwa wanachagua zile bibi harusi akiwa hayuko period
vp ikimtokea ghafla kwa ajili ta mstuko wa furaha na hawajawah onjana itabidi kusubiri kwa siku kadhaa tena.
Kua uyaonemara nyingi nimeona walio olewa wakibadiri namba, lengo ni kuachana na ya nyuma (mawasiliano ya kibwege na marafiki wa kinaa) na kuanza maisha mapya.
mimi huwa najiuliza wakat wa kuchagua tar. za ndoa huwa wanachagua zile bibi harusi akiwa hayuko period
vp ikimtokea ghafla kwa ajili ta mstuko wa furaha na hawajawah onjana itabidi kusubiri kwa siku kadhaa tena.
Lol ..Aisee inabidi babu harusi awe kambale kwa muda mpaka siku zipite
Shem na ule mchepuko ukauacha kabisa?No yangu ni ileile toka tigo wanaitwa buzz mpaka nimeingia kwenye ndoa nipo nayo, kikubwa ni wewe tu unavyoamua uishi kuwa sasa hivi kila kitu naachana nacho nimeshaamua kuingia kwenye maisha ya ndoa.
Naomba nikuoeHata mimi ikitokea nikaingia ndoani nitabadili kuepuka usumbufu wa hapa na pale sio lazima iwe michepuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kusema jirani umekubali hilo ombi ?
Ndio jirani kwani hutaki shemeji?Ndio kusema jirani umekubali hilo ombi ?
Mwenzi wako analichukuliaje hilo suala la wewe kuzima simu unapokuwa nyumbani ...
Then yeye nae akichukua huo uamuzi wa kuzima simu akiwa nyumbani ..utauchukulia vipi huo uamuzi wake !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walia nini sasa dada yangu ??
Naumwa.Walia nini sasa dada yangu ??