Je, umeshawahi kubadilisha laini ya Simu kwa kukwepa Michepuko?

hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
45,622
63,116
Mnamo Mwaka jana . Mwishoni wa Mwaka niliwahi kuhudhuria harusi Ya rafiki Yangu Mmoja hivi wa kike Ambaye alikuwa ana tarajia kuolewa na Mchumba wake wa Muda mrefu "....,

So baada ya mimi kuhudhuria Moja ya vikao vyake vya harusi nakumbuka siku Moja tulipata Muda wa mimi na yeye pamoja na ndugu zake/marafiki kadhaa(Me na Ke)

kukaa kikao fulani hivi cha dharula naku-share experiences mbali mbali za maisha haswaa zile zinazo gusia mahusiano Ya ndoa na changamoto zake jinsi zilivyo "....., hapa kila mmoja kati yetu alikuwa anatoa ushuhuda wake kutokana na experience aliyonayo iwe kwa kushiriki katika tukio fulani .kwa kuona .ama kusikia ".Lengo kuu haswaa lilikuwa nikumpatia muhusika maneno mawili matatu ambayo yatakuja kumnufaisha katika safari yake aliyo kuwa anaitarajia kuianza katika maisha yake mapya Ya ndoa ..
Tulipofika katikati ya maongezi ikawa umefikia muda wa Aunt yake kuongea" Ambaye nae alikuwepo kwenye hicho kikao " (ni dada tu wa makamo) " so alikuwa akiishi na binti yake kama marafiki tu. Hiyo ilichangia kwa sisi kuweza kuwa karibu nae pia "

AUNT-- Mwanangu nikwambie tu " kuanzia sasa wewe Mke mtarajiwa wa mtu " hivyo basi nakuomba kama una michepuko unayo wasiliana nayo kwenye simu".. basi nakuomba mapemaa " uibadilishe hiyo line " isije kukusababishia matatizo nakupelekea kuivunja hii shughuli ama kuivunja ndoa yako ingali ikiwa bado changa "ukaja kutufedhehesha sisi bure"'...

Baada ya siku kadhaa tukaona kweli muhusika kabadilisha namba ya simu " Watu wazima tukajiongeza nakujua Bi harusi mtarajiwa alikuwa ni mtu wa chenga nyingi Yaani messi au pele ..
swali nalirejesha kwenu sasa ..
.

JE.? UMESHAWAHI KUBADILISHA LINE YA SIMU KWA SABABU ZA KUIKWEPA MICHEPUKO ?...

Karibuni tujadili"
View attachment 1009682View attachment 1009681View attachment 1009683View attachment 1009684

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mara nyingi nimeona walio olewa wakibadiri namba, lengo ni kuachana na ya nyuma (mawasiliano ya kibwege na marafiki wa kinaa) na kuanza maisha mapya.

mimi huwa najiuliza wakat wa kuchagua tar. za ndoa huwa wanachagua zile bibi harusi akiwa hayuko period

vp ikimtokea ghafla kwa ajili ta mstuko wa furaha na hawajawah onjana itabidi kusubiri kwa siku kadhaa tena.
 
Hahaa. Wanahama mpaka makazi ..daah nimecheka sana
Watu wanabadili namba na kuhama makazi kukimbia michepuko yaani mtu anatoka mbagala anahamia kibaha wewe unasema hicho tu. Hii ni vita kama vita nyingine yoyote tu na inasababisha wakimbizi wengi kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mara nyingi nimeona walio olewa wakibadiri namba, lengo ni kuachana na ya nyuma (mawasiliano ya kibwege na marafiki wa kinaa) na kuanza maisha mapya.

mimi huwa najiuliza wakat wa kuchagua tar. za ndoa huwa wanachagua zile bibi harusi akiwa hayuko period

vp ikimtokea ghafla kwa ajili ta mstuko wa furaha na hawajawah onjana itabidi kusubiri kwa siku kadhaa tena.
Ngoja waje watuambie mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa cartoonist wanatuonea sana aise .. ina maana sisi wanaume ndio huwa tunachepuka peke yetu !?
images(3).jpeg
images(2).jpeg
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanabadili namba na kuhama makazi kukimbia michepuko yaani mtu anatoka mbagala anahamia kibaha wewe unasema hicho tu. Hii ni vita kama vita nyingine yoyote tu na inasababisha wakimbizi wengi kwa mwaka
Mkuu unaliza majibu au swali? Jibu tayari lipo kwenye uzi wako. Kukazia tu ni kwamba mwanamke atabadili lakini mwanaume hawezi badili simu yake yenye deals kibao sababu ya kusumbuliwa na michepuko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi michepuko yote nawasiliana nayo kwa simu ya kazini, ambayo nikifika nyumbani inaweza ikaita nikakausha wife akiuliza mbona hupokei namwambia anazingua huyo achana nae!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maoni yako sijayaelewa!
umesema michepuko yote unawasiliana nayo kwa simu ya kazini, ukimaanisha kwamba ukishatoka kazini michepuko haikupati tena, sababu simu iko kazini kule.
Sasa inakuwaje tena ukifika nyumbani wanakupigia na simu unaiangalia tu sheikh wangu
 
Rafiki yangu ana laini 2, moja kwa mambo ya kazi tu(maboss zake na wafanyakazi wenzake) na ya pili kwa ajili ya mambo mengine.

Akibadilisha namba huwa anawapoteza wote kwa mkupuo wakati huo huo anasajili laini mpya kwa ajili ya labda mmoja ambae hutaki kumpoteza. Laini ya kazini huwa haibadilishwi

Rafiki yangu ndo anavyofanya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila simu inabaki ofisini zingine ni mobile uwe muelewa

Back
Top Bottom