Je, umeshawahi kubadilisha laini ya Simu kwa kukwepa Michepuko?

hata kama ubadilishe vp no. kama tabia yako ni hiyo ya kuwa na michepuko mambo yanabaki yale yale miaka nenda miaka rudi, ushauri wangu watu wangebadili mioyo yao na si kubadili no.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom