Je, umeshawahi kubadilisha laini ya Simu kwa kukwepa Michepuko?

Chapa BAN tu shenzy type, mi kuna mwingine alitaka nimsajilie line, nikablock calls zote juz saa nne na nusukapiga hadi nikavunja screen ya cm ambayo haijamaliza hata week nimemfyekelea mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kuwaje sasa ..mpaka ukavunja screen ...

Then kama niki ng'ang'anizi unaweza kumpiga Ban ...then akakutafuta kwa namba nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ka ni nayo kwanza kuolewa haimaanishi Mimi mtumwa mtu aingilie simu yangu, na Mimi sihangaiki.na simu yake. In short huwezi mchunga mtu mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hii kali ... lakini hapa anaye chukua uamuzi wa kubadilisha ni owner wa hiyo line mwenyew " nasio kwamba amepewa shinikizo na mume/mke wake mtarajiwa".....

Na anaamua kufanya hivyo baada ya kuona kuwa kuna watu ambao wanaweza kuhatarisha mahusiano yake

Daah .. kwahuyo sawa"..., ila kwa sisi ambao tumetulia " msitufanyie hivyo aise
 
Back
Top Bottom