Je, umeshawahi kubadilisha laini ya Simu kwa kukwepa Michepuko?

Mwenzi wako analichukuliaje hilo suala la wewe kuzima simu unapokuwa nyumbani ...

Then yeye nae akichukua huo uamuzi wa kuzima simu akiwa nyumbani ..utauchukulia vipi huo uamuzi wake !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongelea simu za kazini maana waweza jikuta upo kwenye maandalizi ya kulala unapigiwa simu inayokubidi kutoka hususani usiku ndio nilimaanisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maoni yako sijayaelewa!
umesema michepuko yote unawasiliana nayo kwa simu ya kazini, ukimaanisha kwamba ukishatoka kazini michepuko haikupati tena, sababu simu iko kazini kule.
Sasa inakuwaje tena ukifika nyumbani wanakupigia na simu unaiangalia tu sheikh wangu
Rafiki naona maisha sasa yamekunyookea,nimekumbuka wakati unanza safari ya kuja DSM.
 
Back
Top Bottom