Je, umeshawahi kubadilisha laini ya Simu kwa kukwepa Michepuko?

Hahhaha tuombe uzima mkuu hakuna kinachoshindikana ila wahenga wa jf nawaogopa mimi
Hata mimi waniogopa come on...nisingeandika hapa hadharani kama ningekuwa na nia mbaya!!!

By the way JF ni sehemu tu watumia intaneti wanabangaiza, the real us ni wa huku mitaani...
 
Chapa BAN tu shenzy type, mi kuna mwingine alitaka nimsajilie line, nikablock calls zote juz saa nne na nusukapiga hadi nikavunja screen ya cm ambayo haijamaliza hata week nimemfyekelea mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom