Je, umeshawahi kubadilisha laini ya Simu kwa kukwepa Michepuko?

kwa mwanaume anaechepuka....sharti kuu..tena ni amri....mchepuko haruhusiwi kukutafuta.......na kwasbb ya viburi vya kike eti na yeye unaweza mtafuta akauchuna............akijaribu imekula kwake.......ila angalizo ogopa network...ukimwi upo....
 
Watu wanabadili namba na kuhama makazi kukimbia michepuko yaani mtu anatoka mbagala anahamia kibaha wewe unasema hicho tu. Hii ni vita kama vita nyingine yoyote tu na inasababisha wakimbizi wengi kwa mwaka
Hahahahaha....mkuu umeua. Ei hii ni vita kama vita nyingine. kwa hiyo unamaanisha hata yaliyotokea Iraq yanafanana na hayo?
 
Unapofikiria kuoa au ukishakuwa kwenye harakati za ndoa kitu cha kwanza kufanya ni kubadilisha namba ili wale zilipendwa wabakie na namba hewa kwani itakulazimu sana na ukiona kama umeshabadilisha na bado una michepuko tafuta laini ya simu ambayo itakuwa inaoatikana mida ya mchana tena muda wa kazi na sio mchana ukiwa uko home. Tahadhari ni muhimu sana kabla ya hatari
 
Back
Top Bottom