Je, umeshawahi kubadilisha laini ya Simu kwa kukwepa Michepuko?

Hama na badili sim card ila hii inakuhusu
tapatalk_1392211287695.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mara nyingi nimeona walio olewa wakibadiri namba, lengo ni kuachana na ya nyuma (mawasiliano ya kibwege na marafiki wa kinaa) na kuanza maisha mapya.

mimi huwa najiuliza wakat wa kuchagua tar. za ndoa huwa wanachagua zile bibi harusi akiwa hayuko period

vp ikimtokea ghafla kwa ajili ta mstuko wa furaha na hawajawah onjana itabidi kusubiri kwa siku kadhaa tena.
Aisee inabidi babu harusi awe kambale kwa muda mpaka siku zipite
 
mara nyingi nimeona walio olewa wakibadiri namba, lengo ni kuachana na ya nyuma (mawasiliano ya kibwege na marafiki wa kinaa) na kuanza maisha mapya.

mimi huwa najiuliza wakat wa kuchagua tar. za ndoa huwa wanachagua zile bibi harusi akiwa hayuko period

vp ikimtokea ghafla kwa ajili ta mstuko wa furaha na hawajawah onjana itabidi kusubiri kwa siku kadhaa tena.
Kua uyaone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No yangu ni ileile toka tigo wanaitwa buzz mpaka nimeingia kwenye ndoa nipo nayo, kikubwa ni wewe tu unavyoamua uishi kuwa sasa hivi kila kitu naachana nacho nimeshaamua kuingia kwenye maisha ya ndoa.
Shem na ule mchepuko ukauacha kabisa?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom