covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 4,876
- 10,593
Na ndio asilimia 75 ya viongozi wote..Shikamoo sana mtoa hoja.
Umeyaongea mengi sana kwenye aya chache
Kuna jambo moja naliona kwenye huu mfumo wetu. Mimi niliwahi kuwa kiongozi ngazi ya chini hukooo. Lakini upofu wangu ulinisaidia kujua how does system works. Kosa lipo kwenye eneo la uongozi, kuna viongozi wengi wamepachikwa kutoka kwenye system, wanakuwa loyal kwa mfumo na siyo kwa wananchi.
Sheria inayounda TISS ikiboreshwa iendane na mazingira tuliyonayo ya uchumi struggle tunaweza kufika mahala pazuri