Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,883
2,000
Wadau,

Huu ni uzi wa swali.

Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake.

Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake wengi wa marais waliopita haswa awamu ya tatu na nne. Mama Janet yuko bize kumsaidia mumewe kwenye yale yaliyopangwa kwenye ilani. Hi inatoa fursa ya kutokumuhusisha au kumpaka Rais matope kwa kupitia taasisi ya mkewe.

Watoto wa Rais Magufuli ni Kama hawapo. Ninamfahamu Jesca tuu na huyu nilimfahamu kipindi kill cha ishu ya wanafunzi wa udom.

Kwa uelewa wangu hili halitokei kwa bahati mbaya bali kwa Rais aliyepo madarakani kutotaka kushea uongozi wake na familia yake. Mwalimu Nyerere ni mfano mzuri katika hili.

Amani
Mwanaye DAS wa Morogoro, mwingine kashinda kura za maoni Kawe kawashinda magwiji😂😂😂, Jesca yupo kwenye kazi nzuri EWURA
 

Amani Msumari

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
1,756
2,000
Kinachojadiliwa ni katika utawala/uongozi wake hilo la familia au ukoo wake unakuhusu nini? hata wewe hapo kwa shemeji yako unapoishi Mara jirani akaanza kukufuatilia kwanini huendi kupanga kwako utajisikiaje si lazima ulielie majirani wambea sana,hawa viongozi wa kisiasa tuliwapa dhamana tuwape Uhuru na familia zao muhimu wanatekeleza majukumu tuliyowapa Fanya kazi kwa bidii jitengenezee kipato chako itakuepusha na majungu,na kama utaendelea hivyo tabia ya kufuatilia maisha ya watu kuna hatari ya kuja kuwa mchawi mkubwa sana katika umri mdogo na huenda vijana ktk mtaa wako wakuua kwa uchawi wako na kufuatilia maisha ya watu.
Maana yangu kubwa n kuwa Rais Magufuli ameonesha kuheshimu madaraka yake na kutokuifabya familia yake kama vile nao ni sehemu ya uongozi. Hayo mengine n tafsiri yako
 

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
4,630
2,000
Hivi unaanzaje kumkubali jiwe mpaka unakuwa tahaira kama Jane lowasa na Kawe alumni.
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
12,683
2,000
Jesca mwenyewe yupo morogoro anakula mshahara, na juzi mtoto wa dada alishinda kura za maoni kawe.
Jesca anafanya nini morogoro, alishamalizaga M. A yake udom. Magufuli asije wafanya wanawe ka nyerere wasile mema ya nchi, huku kina January, nape, Ridhiwani na Mwinyi kabebwa Hadi anakuwa rahisi kabisa
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
12,683
2,000
Naona Maisha yake ktk utendaji wake kuyafuatilia yamekushinda sasa unaamua kuingilia malezi ya familia yake na siku si nyingi utarudi uanze kusema "Hivi Magufuli anavyosema ataongeza mke wa pili Znz baada ya kustaafu kwanini asinichukue Mimi mbara mwenzie Magufuli ni mbaguzi hatufai.
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
12,683
2,000
Kinachojadiliwa ni katika utawala/uongozi wake hilo la familia au ukoo wake unakuhusu nini? hata wewe hapo kwa shemeji yako unapoishi Mara jirani akaanza kukufuatilia kwanini huendi kupanga kwako utajisikiaje si lazima ulielie majirani wambea sana,hawa viongozi wa kisiasa tuliwapa dhamana tuwape Uhuru na familia zao muhimu wanatekeleza majukumu tuliyowapa Fanya kazi kwa bidii jitengenezee kipato chako itakuepusha na majungu,na kama utaendelea hivyo tabia ya kufuatilia maisha ya watu kuna hatari ya kuja kuwa mchawi mkubwa sana katika umri mdogo na huenda vijana ktk mtaa wako wakuua kwa uchawi wako na kufuatilia maisha ya watu.
mleta mada akachukue PhD ya ku mind bussiness zake
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,699
2,000
Mtoto wa dada yupo hazina,ndio mtoa pesa mkuu wa nchi.
Shemeji kapewa Tenda ya kujenga airport,wakati hajawahi hata kujenga Darasa au choo,
What's ****.
Mtoa mada anatuyeyusha!! Kila siku watu wanatoa upuuzi anaoufanya JIWe yeye ina maana hauoni kabisa.

-Kuongo mademu vyeo eg Kisarawe Oyeee , Mme kapigwa exile China Mkewe kalamba uwaziri,Kebbys hotel etc
-Mayanga construction
-Nyumba za serikali kupewa vimada na ndugu
-Wizi kwenye white elephants project.
 

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,749
2,000
SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani, Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
Ujumbe huu umfikie Gwaji boy, mzee wa mauno au show kaliii
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom