Tunatengeneza tovuti (websites) zenye ufanisi, muonekano wa kisasa na zinazokidhi mahitaji ya biashara au taasisi yako — kwa haraka na kwa bei nafuu sana.
Tovuti iliyokamilika: TZS 200,000 tu!
Kwa ajili ya biashara au taasisi yako, tutakutengenezea tovuti itakayokusaidia kuitangaza...
OFFA YA LEO TU.
Sasa unaweza kuiipatia email ya kampuni yako au biashara tako rasmi kwa Tsh.50,000 tu.
achana na gmail.com
bali utapata domain kama
biasharayako.co.tz na email tako rasmi yaani info@biasharayako.co.tz.
wahi sasa offa hii ni kwa wateja 5 tu.
Email yako utaipata ndani ya masaa...
Kama unatafuta suluhisho la kidijitali kwa ajili ya kukuza au kurahisisha uendeshaji wa biashara yako, FellaHost inakuletea huduma mbalimbali kwa bei nafuu na ufanisi wa hali ya juu:
Web Hosting & Domain Registration: Usajili wa majina ya tovuti (.com, .co.tz, n.k.), hosting zenye kasi kubwa...
Nalileta kwenu wataalam,
Hivi kuna kampuni gani nzuri inayotoa huduma ya hosting hapa bongo, mana nataka kuhama kwa mtoa huduma wa sasa aliyeko nje, kwakuwa nilipata tabu wakati wa kurenew malipo kipindi hiki kutokana na sheria za TCRA za kutaka malipo yote ya nje yaambatanishwe na mkataba wa...
Sio kwa nia mbaya au kuwapangia mambo; CHAUMMA kwa hadhi yenu nyie sio wa kushindwa kutengeneza website hata ya bei kidogo ili kuenda na wakati wa sasa wa Teknolojia ya mawasiliano na kuleta udhibiti wa mawasiliano yenu ndani ya chama chenu.
Ofisi ya Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Kurugenzi ya Uenezi...
Domain ni nini?
Domain ni jina la kipekee linalotambulisha tovuti yako kwenye mtandao. Kwa mfano, katika anwani ya tovuti www.google.com, sehemu ya google.com ndiyo domain. Badala ya kukumbuka namba ngumu (IP address), domain hukupa jina rahisi linaloendana na biashara yako.
Kwa nini domain ni...
Habari,
Wakuu karibuni niwatengenezee website haraka na kwa bei poa kabisa ya shilingi elfu 50 tu unaruka hewani mtandaoni ndani ya masaa 24.
Nikuwekee na domain ya biashara yako bure kwa mwaka mzima mfano example.com bila malipo, hii sii ya kukosa.
Kumbuka Website hii unaweza kuitumia kuuzia...
Tunakuletea ofa ya kipekee – .COM kwa TZS 15,000 tu kwa mwaka!
Anza safari yako ya mtandaoni leo. Iwe ni kwa biashara, blogu au jina lako binafsi – jina sahihi la domain linakupa hadhi mtandaoni.
Usikose nafasi hii, ofa ni ya muda mfupi tu!
Tembelea www.jamiisoft.com au tupigie kwa maelezo...
KUZINGATIA HITAJI LA KISHERIA LA KUSAJILI NA KUTUMIA MAJINA YA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES) NCHINI
Kwa mujibu wa Kifungu cha 79 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Cap. 172 R.E. 2023, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ina wajibu wa kusimamia uendeshaji wa rajisi ya majina ya...
Naamini huenda umewahi kukumbana na changamoto ya kutofautisha dhana mbili muhimu sana katika ulimwengu wa mtandao: domain na hosting. Mara nyingi, watu huchanganya au kushindwa kuzielewa kikamilifu, na hivyo kujikuta wakipotea katika safari yao ya kuwa na uwepo mtandaoni. Leo, nimekusudia...
Tofauti Kati ya .tz na .co.tz Domain: Ulinganisho na Uchambuzi
Tanzania ina mfumo wake wa domain inayosimamiwa na Tanzania Network Information Centre (tzNIC). Kupitia mfumo huu, biashara na taasisi zinaweza kupata utambulisho wa mtandaoni kupitia domain ya kitaifa. Tofauti kati ya .tz na .co.tz...
Mfano domain iwe xyz.tz na xyz.co.tz
.tz gharama ni 100,000 kwa mwaka na .co.tz ni 25,000!
Je kuna faida gani ya kutumia .tz domain badala ya .co.tz?
Nataka sajili domain naomba mawazo..
Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo, naomba mwenye kufahamu niwapi nitapata cheapest domain.
Pia,ninahitaji kujua mfumo mzima kama hosting inakuaje na gharama zake.
Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu.
Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama...
bei
biashara
bora
domain
hosting
kupanda
mbili
sababu
sababu za
services
tanzania
umuhimu
umuhimu wa website
wafanya biashara
web
web hosting
website
yako
Habari wadau.
Nina miliki website tatu kwa sasa na ninafikiri kuongeza moja hivi karibuni. Kila aliyenitengenezea website aliweka package ya domain name na hosting kwa mwaka mmoja bure. Baada ya mwaka nikaanza kulipia domain name na hosting ambayo kwa website 3 si haba.
Nimefikiria kununua...
wakuu poleni n majukumu.
wataalaamu kama kawaida tusaidiane hapa wenye uzoefu, hivi ni bora ukatumia premium template ya blogger then ukatumia na custom domain au uhamie tu moja kwa moja wordpress which is better?
Habari wanaJamiiForums
Nina mpango wa kusajili website yangu itakayohusu masuala ya kitaaluma, na nilitamani iwe na kikoa cha DOT ACADEMY (.academy) ukizingatia kwamba kwa . TZ sijaona domain yenye mantiki ya kielimu mbali na kuwa taasisi.
Wasiwasi wangu upo kisheria, na hapa ndipo ulipo...
Habari nipo hapa kuwajuza wote watakao penda kumiliki blogu nipo kufanya kazi hiyo
Ofa kwa mwana jamiiforums wote
Bei 10,000 bila domain
Na 15,000 kwa blogu ambayo inakuja na domain name ya .com
Mfano wa blogu nilionayo ni hii
www.issazilla.com
Karibu PM or email: heavyboy255@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.