hosting

  1. M

    Web hosting services kwa wafanya biashara

    Kama unafanya Biashara ni muhimu sana kuwa na professional Website na Email. Lakini changamoto ni namna ya kupata Web hosting provider mzuri. Unaweza jaribu hawa provider ambao wanaweza kukupa ofa ya 1. Ofa ya hosting kwa mwaka 2. Free domain name 3. Storage hadi ya 10GB 4. Free SSL Link ya...
  2. M

    WEB HOSTING SERVICES KWA WAFANYA BIASHARA

    Kama unafanya Biashara ni muhimu sana kuwa na professional Website na Email. Lakini changamoto ni namna ya kupata Web hosting provider mzuri. Unaweza jaribu hawa provider ambao wanaweza kukupa ofa ya 1. Ofa ya hosting kwa mwaka 2. Free domain name 3. Storage hadi ya 10GB 4. Free SSL Link ya...
  3. M

    Je, ni zipi sababu za kupanda kwa bei ya .Com domain kwa Tanzania?

    Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu. Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama...
  4. Moseskyey

    MP3 Uploader Hosting Offer 2024

    Je umekuwa ukitafuta mahali unaweza weka Miziki yako baada ya Kuweka Cover katika hiz Nyimbo ili ubrand jina au Website jina lake sasa karibu KWETU CLOUD ni Kikundi ambacho kimeanzisha Panel itakayo weza Manage Nyimbo zako kwa usalama na Uliza, ni utafanyiwa installion free na utatumia Hosting...
  5. Moseskyey

    Web Hosting Cheap 12$/ 1 Year

    Je Umekuwa ukitafuta web Hosting ya Gharama nafuu na Umekosa, hapa ndo penyew pata web Hosting Bora na Nzur kwa Kazi zako sasa, niko na Offer hapa Plan 1 2 - 4 GB RAM and 2 CPU CORE Linux Ultimate ( $10.80 ) - 1 Year Linux Ultimate ( $25.90 ) - 2 Year Linux Ultimate ( $40.80 ) - 3 Year Linux...
  6. Gulio Tanzania

    Kampuni gani ni bora kwa huduma za web hosting Tanzania?

    Habari zenu wadau Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate muongozo
  7. P

    Msaada kubadiki castom domain name ya bloger

    Msaada kubadiki castom domain name ya bloger nimehost free site katika infinity free hosting. Nikiplace inanigomea msaada
  8. Cybergates

    Hosting ni expensive sana

    Aise kama unataka kuanza ku code kitu kabla hauja chagua frameworks hakikisha unapitia cost za deployment kwanza, bila hivyo utajikuta system yako unatumia mwenyewe kwenye localhost Ipo hivi ulitumua python kama backend cost hazishikiki Web App - Tumetumia Azure web app ($55/mo) Postgresql -...
  9. CIA mgumu

    Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme. Je ni vitu gani...
  10. talentbrain

    Domain Name and Hosting

    Habari wadau. Nina miliki website tatu kwa sasa na ninafikiri kuongeza moja hivi karibuni. Kila aliyenitengenezea website aliweka package ya domain name na hosting kwa mwaka mmoja bure. Baada ya mwaka nikaanza kulipia domain name na hosting ambayo kwa website 3 si haba. Nimefikiria kununua...
  11. Primezone

    Jinyakulie Kuhost Website au System yako kwa Tsh3500/= tu kwa mwezi (au 42,000 kwa Mwaka)

    Je?, Wewe Ni Mfanyabiashara Au Mjasiriamali unaemiliki Kampuni Yako Binafsi Isiyokuwa Na Website Wala Email za jina la biashara yako?? Je?, Unatamani Kuwa Na Website Na Email Zenye Brand Ya Jina La Biashara Au Kampuni Yako? Je? Unahisi Kwamba Ni Gharama Kubwa Kumiliki Website Au Tovuti Ambayo...
  12. miser

    Cheap & Affordable Web Hosting Services

    Meet the offers you can’t refuse. Whether it’s for personal or business use, you need a web hosting service like Computer Springs to get your ideas online. No matter which plans you choose, you can count on us for reliability, security, and a stress-free experience...
  13. tzhosts

    WordPress hosting training

    Je, wewe ni Kijana Mtanzania ambaye anapenda kujifunza kuhusu WordPress Hosting na namna ambavyo unaweza kujiajiri kwa kutengeneza website katika Platform ya wordPress? Kama Jibu ni ndiyo basi fursa hii inakuhusu. Utajifunza yafuatayo: Basic Introduction to Websites and Webhosting...
  14. D

    OFA: Jipatie Hosting ya Buree! Kwaajili ya Website, E-mail & System kwa mwaka 1 tu

    Offer Deal for Tanzania Hosting Buy Domain from microsafi.com for at least 1year and get a free Hosting for the first year. Our hosting plans include everything you need to start building your dream online. Web hosting is our specialty. Happy customers are the priority. Our aim is to host your...
  15. N

    INAUZWA Nauza Biashara ya Hosting

    Kama Kichwa Cha habari Kinavyojieleza. Nina Biashara ya Hosting ambayo bado ni Changa, Nimeifanya Kwa Miaka miwili na Tayari. Ina wateja ambao wako Active 10, Na Wanalipia Kila mwaka (Wanalipia kuanzia 120,000 - 160,000/yr). Kutokana Na Kupata Kazi ambayo itanibana na Kushindwa kutoa support...
  16. Geza Ulole

    Total yafikia makubaliano na Uganda, yakaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kupitia Tanzania

    Uganda na kampuni ya Total ya ufaransa zimefikia makubaliano ambayo yanaifanya kampuni hiyo ya mafuta na washirika wake kukaribia kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kwenda nchi ya jirani ya Tanzania, kampuni hiyo ilisema Ijumaa. Uganda iligundua hifadhi ya mafuta miaka 14 iliyopita lakini...
  17. Liston Cosmas

    Natoa free hosting (kwa miezi 6) pamoja na kujenga websites na mobile apps

    Habari wadau! Kama kichwa kinavyosema, ninatoa huduma ya hosting bure kabisa kwa miezi 6 na pia kama unahitaji kua na website au mobile application (ios & android), pia utapatiwa kwa gharama nafuu sana. Napatikana kwa +255 768 55 8494.
  18. Samedi Amba

    Fahamu kuhusu SIM Card hosting kwa Tanzania

    Habari za asubuhi wanajamvi, Nimeona services nyingi mtandaoni na nikavutiwa na jinsi mambo yanavyokwenda kasi. Kuna concept mpya imeingia (actually sio mpya sana) ambayo inaitwa SIM hosting. Yaani, unaweza ukaipa kampuni fulani SIM card yako, wakaihifadhi kwenye server zao. Baada ya malipo na...
Back
Top Bottom