Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,676
- 16,629
Fine Twin, hebu niambie, inakuwaje mtu anaugua, anaenda hospitali kubwa kama Muhimbili au Kairuki, anafanyiwa MRI, CT-Scan, na vipimo vyote na madaktari bingwa wanasema mwili hauna ugonjwa wowote, lakini mtu anazidi kudhoofika na kufa?Twin matokeo hayafanani ila yana thibitika
Twin nachotaka ni matokao yanayoweza kuthibitika
Uchawi hauna matokeo yana yothibitika
Halafu mwingine mwenye hali hiyo hiyo akitolewa hospitali akapelekwa kwenye tiba asili au maombi anapona mchana kweupe? Kama sio uchawi au nguvu za kiroho, madaktari walikuwa wanapima nini kile kilichoshindikana?
Nipe tu logical medical explanation Hapa nikuelewe vizuri.