ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,477
- 41,419
- Thread starter
- #121
Hakika broImani na hisia vikikaa pamoja=upofu wa fikra.
Hakika broImani na hisia vikikaa pamoja=upofu wa fikra.
Mimi mwenyewe nilishaacha zamani sana kujihusisha na Dini na yote ni baada ya kufunguliwa macho ya rohoni na kuuona utapeli uliopo huko kwenye dini.Tena issue za dini ndiyo kabisa nilisha kitambo
So wewe mkuu imani yako imekaaje kaaje yani ?
Kasheshe aisee kwa vile imani yangu kwa upande huu ni ndogo nashindwa hata kuamini kwakweli dahMimi mwenyewe nilishaacha zamani sana kujihusisha na Dini na yote ni baada ya kufunguliwa macho ya rohoni na kuuona utapeli uliopo huko kwenye dini.
Kuna mambo ukioneshwa kama haupo strong emotionally unaweza ukawa unalia tu kila ukikumbuka!. Watu wanateseka jamani. Mtu anajifanya nabii halafu anakuroga ugonjwa usiojulikana,unahangaika nao weee wapi. Halafu anakuja kujifanya anakuponya na wewe pasipo kujua unaenda kuvunja Benki ili umpe unachodhani ni SADAKA usijue kumbe amekuzunguka!
Hongera sana mkuu umechagua njia yako safiiFor almost 21 years now Mimi nadeal na aliyeniumba tu. Kama ni maswali tata huwa namuuliza Mungu mwenyewe straight forward na hakuna swali ambalo hajanijibu.
Kwa kifupi ninaishi na Mungu kama samaki na Maji baharini. Bampa to Bampa. Simuachi,haniachi. Hatuachani milele!.
Neema hii ipo kwa watu wote lakini bahati mbaya wengi huwa wanaipiga teke ndio maana wengi ama wanaangukia mikononi mwa matapeli ya kiroho au wanajikuta wapo kwenye GREAT SPIRITUAL CONFUSION.
YOHANA 8
12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Ufunuo wa YOHANA 3
20 Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.
Mkuu, sijasema kuwa babu zetu walikuwa wajinga. Je inatosha kuamini kuwa uchawi upo kisa jamii imeamini hivyo kwa miaka na miaka?.Wewe daktari kila kitu unaita knowledge gap. Hivi unadhani mababu zetu walikuwa wajinga hadi waamini kitu kwa maelfu ya miaka bila kuwa na ukweli wa jambo lenyewe?
Kuna vitu viko beyond science, ukubali ukatae.
Kwani lazima kila kitu tukiite majina ya kizungu ndiyo kieleweke?Mkuu, sijasema kuwa babu zetu walikuwa wajinga. Je inatosha kuamini kuwa uchawi upo kisa jamii imeamini hivyo kwa miaka na miaka?.
Nakubali kuwa ulimwengu una vitu ambavyo havijawa bayana kwa binadamu, je hivyo vitu ni sahihi tuviite uchawi?
Upofu mkubwa na mbaya zaidi ni pale msomi anapofikiri akili yake ya darasani inaweza kueleza siri zote za ulimwengu huu.Imani na hisia vikikaa pamoja=upofu wa fikra.
Karibu baby girl 🍿Najifunza hapa
So, unataka kufanyiwa practical 😂Anayeweza kuniroga nimemruhusu akaniroge na alete ushuhuda hapa.
Kwenye chaka hilo la uchawi tena vya kutisha. Kuna kuumizana/ kuuana na kuharibiana mali.Kwani lazima kila kitu tukiite majina ya kizungu ndiyo kieleweke?
Babu zetu walikiita uchawi, ninyi wasomi mnakiita paranormal activity au unexplained phenomena at the end of the day, tunazungumzia kitu kilekile kimoja.
Summary kilitokea nini?nimewahi kushiriki kwenye matambiko ya mambo ya asili, usiku wa manane kwenye kaburi la mtu wa kale. Siku ile niliona kama usanii tu wa wale wazee lakini baadae yaliyokuja kutokea ni majuto makuu. Haya mambo yapo na ni hatari
Kama unakiri kuna kuumizana, kuuana, na kuharibiana mali, maana yake hayo matokeo hasi yanaonekana physically.Kwenye chaka hilo la uchawi tena vya kutisha. Kuna kuumizana/ kuuana na kuharibiana mali.
Kwakuwa nguvu hiyo haiwezi kuthibitika, then physical harm ndo inayotumika.Kama unakiri kuna kuumizana, kuuana, na kuharibiana mali, maana yake hayo matokeo hasi yanaonekana physically.
Sasa hayo mauaji na ukatili unaosababishwa na hizo nguvu utauitaje kama siyo uchawi?
Mwenyewe anajiita nabii,na ni Mwanamke tena ni ndugu yangu upande wa Mama.Kasheshe aisee kwa vile imani yangu kwa upande huu ni ndogo nashindwa hata kuamini kwakweli dah
Mchungaji nae mchawi🤔
Hongera sana mkuu umechagua njia yako safii
Asante!Kasheshe aisee kwa vile imani yangu kwa upande huu ni ndogo nashindwa hata kuamini kwakweli dah
Mchungaji nae mchawi🤔
Hongera sana mkuu umechagua njia yako safii
Mbona unaleta mifano ya matapeli wa mjini ili kuhalalisha hoja yako?Kwakuwa nguvu hiyo haiwezi kuthibitika, then physical harm ndo inayotumika.
Si aghalabu kusikia " mtaalamu akiomba jina, mahali anapoishi, picha, kazi, maeneo anayo tembelea. Ambapo taarifa hizo zinatosha kumfuatilia mtu na kumdhuru physically kimyakimya then ikatangazwa kua kushughulikiwa kwa uchawi.
Kuna uhuni mwingi kwenye chaka la uchawi.
Sio zumaridi kweli wa mwanza huyo nabii wa mwanamkeMwenyewe anajiita nabii,na ni Mwanamke tena ni ndugu yangu upande wa Mama.
Kwa sasa anavuna alichokipanda for more than 30 years. Shetani hajawahi kuwa mwaminifu. Ukifanya deal nae,akishakutumikisha mwisho lazima akukaange!
Hapana sio Mwanza!Sio zumaridi kweli wa mwanza huyo nabii wa mwanamke