Je, ni uchawi au saikolojia?

Je, ni uchawi au saikolojia?

(not debating just leaving this here)

First mistake ni kutenganisha the physical aspects from the metaphysical aspects of our consciousness / akili / mind / soul.

Yaani ni kama unauliza je anayerithisha kwa watoto ni DNA au ni mtu? Sasa mtu si ndo DNA. Au mtu anaanzia wapi kuwa mtu akitokea kwenye DNA? ?

Yaani unaongelea kitu kilekile in different forms.

We're are more that the functions of our brains.

Usiseme utausoma ubongo wote kisha ndo utajua kikamili jinsi akili ya binadamu anavyofanya kazi.

Kwasababu hata wataalam wa ubongo wameona kuna zaidi kuhusiana na utashi wa binadamu zaidi ya ubongo.

View: https://youtu.be/41bIJ7hYbLs?si=kIXdaIFxvr_gol0z

Na wakati bado hatujajua boundary ilipo kati ya huu ubongo wetu na roho zetu, sisi wa rohoni tunatumia hayo maneo interchangeably:

Yani wewe ni chizi na una mapepo.

Yani wewe ni psychopath na una roho mchafu.

Yani wewe una hekima, maarifa na upendo na una roho wa Bwana ndani yako.

Mpaka tutakapoelewa kikamili jinsi Mungu alivyotutengeneza.

I am very excited about the Coming Kingdom of GOD.

Utakuwa wa wakati wa maarifa hapa duniani amabo haujawahi kutokea tangu kuumbwa.

Sasa haya ni mawazo yangu pekeyangu naweza kuwa nimekosea:

kwenye miaka 1000 tukiwa na YESU hapa duniani (kuhusu miaka 1000 kuwa hapa duniani sorry hapa sijakosea, na itaanza hivi karibuni ),

naamini tutaiona historia tangu mwanzo, sijui tutakuwa tunaonyeshwa kama movie kwenye screen sijui, lakini tutaiona.

Itakuwa the Best Movie Production of all time, true story, real people, actual events, sio ya kutunga.

Ulimwengu huo hapo unaumbwa.
Adam huyo hapo.
Nyoka huyo hapo.
Gharika hiyo hapo.
Roho waovu hao hapo.
YESU huyo hapo.
Etc

Sio tu tutapata majibu ya maswali mengi bila kuuliza, lakini pia Maswali yetu yatajibiwa. Kwahiyo hata kuhusu miili yetu / ubongo wetu na kila kitu duniani jinsi kilivyoshikiliwa na Muumba tutajibiwa.

"Kwa kuwa dunia itajazwa na maarifa ya utukufu wa Bwana, kama maji yaifunikavyo bahari."
Habakuk.2.14.NENO2025

JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Kwahiyo uchawi unatengenezwa kwenye akili ya mtu sio?

Nataka kujua kuhusu huu uchawi mweusi naomba ufafanuzi hapa hapa kwa faida ya member

Toa darasa pia kuhusu uchawi mweupe mkuu usibaki na maarifa peke yako
uchawi unaanza akilini mwa mtu mfano kwenda makaburini usiku hakuna tatizo tatizo ni iman yako unaweza kupita eneo usiku vizuri tu ukaja kuabiwa hilo eneo usiku ni hatar unakuwa unapitapo kwa woga na wasiwasi
 
(not debating just leaving this here)

First mistake ni kutenganisha the physical aspects from the metaphysical aspects of our consciousness / akili / mind / soul.

Yaani ni kama unauliza je anayerithisha kwa watoto ni DNA au ni mtu? Sasa mtu si ndo DNA. Au mtu anaanzia wapi kuwa mtu akitokea kwenye DNA? ?

Yaani unaongelea kitu kilekile in different forms.

We're are more that the functions of our brains.

Usiseme utausoma ubongo wote kisha ndo utajua kikamili jinsi akili ya binadamu anavyofanya kazi.

Kwasababu hata wataalam wa ubongo wameona kuna zaidi kuhusiana na utashi wa binadamu zaidi ya ubongo.

View: https://youtu.be/41bIJ7hYbLs?si=kIXdaIFxvr_gol0z

Na wakati bado hatujajua boundary ilipo kati ya huu ubongo wetu na roho zetu, sisi wa rohoni tunatumia hayo maneo interchangeably:

Yani wewe ni chizi na una mapepo.

Yani wewe ni psychopath na una roho mchafu.

Yani wewe una hekima, maarifa na upendo na una roho wa Bwana ndani yako.

Mpaka tutakapoelewa kikamili jinsi Mungu alivyotutengeneza. Tunaangalia tu matunda yako.

I am very excited about the Coming Kingdom of GOD.

Utakuwa wa wakati wa maarifa hapa duniani amabo haujawahi kutokea tangu kuumbwa.

Sasa haya ni mawazo yangu pekeyangu naweza kuwa nimekosea:

kwenye miaka 1000 tukiwa na YESU hapa duniani (kuhusu miaka 1000 kuwa hapa duniani sorry hapa sijakosea, na itaanza hivi karibuni ),

naamini tutaiona historia tangu mwanzo, sijui tutakuwa tunaonyeshwa kama movie kwenye screen sijui, lakini tutaiona.

Itakuwa the Best Movie Production of all time, true story, real people, actual events, sio ya kutunga.

Ulimwengu huo hapo unaumbwa.
Adam huyo hapo.
Nyoka huyo hapo.
Gharika hiyo hapo.
Roho waovu hao hapo.
YESU huyo hapo.
Etc

Sio tu tutapata majibu ya maswali mengi bila kuuliza, lakini pia Maswali yetu yatajibiwa. Kwahiyo hata kuhusu miili yetu / ubongo wetu na kila kitu duniani jinsi kilivyoshikiliwa na Muumba tutajibiwa.

"Kwa kuwa dunia itajazwa na maarifa ya utukufu wa Bwana, kama maji yaifunikavyo bahari."
Habakuk.2.14.NENO2025

JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Kwa kuzingatia hili neno lako
👇
Not debating, just leaving this here

Na mimi nasema : I read your post and left it here, just like you did 🤝
 
Umezungumzia swala la uchawi na majini, ni kweli kabisa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uchawi na majini

Wachawi na majini ni wadau muhimu sana wa kufanikiwa kwa uchawi,kwasababu mmoja ni boss na mwingine ni mtumwa

Wachawi wanawatumikia Majini,ndio maana kwenye kitabu cha qur'an Allah anasema majini wanawapoteza watu wengi sana kwenye njia ya Mwenyezi Mungu

Kwasababu ukitaka ufalme wa uchawi, jini nae ana masharti yake,ikiwemo umkane Mwenyezi Mungu,ukufuru na mambo kama hayo

Utaambiwa ua mama yako au baba yao au mwanao,kifupi nao wana ile dhana ya no free lunch

Na wachawi wanapewa uwezo na majini kwa kufanikisha mambo yao,mathalani kupaa,kuingia kwenye nyumba kichawi na mambo kadha wa kadha

Kwahiyo ni sahihi kusema huwezi kutenganisha uchawi na majini
Mkuu umechanganya mambo, majini yote yanafanya mambo ya kichawi lakini sio uchawi wote unahusisha majini, majini ni uchawi wa baharini au maeneo yaliyo karibu na bahari, au nchi kavu kwa kusudi maalum(kufugwa), ila majini asili yake ni baharini(sio ziwa Wala mito),halafu kuna uchawi wa nchi kavu, huu umegawanyika makundi kibao, kuanzia wafuga nyoka n.k, ila vyovyote vile uchawi upo lakini sio kwa ajili ya maendeleo, zaidi kwa ajili ya kuharibu maisha ya watu.
 
uchawi unaanza akilini mwa mtu
hapa tumeshakubaliana mimi na wewe
mfano kwenda makaburini usiku hakuna tatizo tatizo ni iman yako unaweza kupita eneo usiku vizuri tu ukaja kuabiwa hilo eneo usiku ni hatar unakuwa unapitapo kwa woga na wasiwasi
Nataka uongelee huo uchawi mweusi &mweupe kama ulivyosema
 
Nataka uongelee huo uchawi mweusi &mweupe kama ulivyosema
uchawi mweupe unaweza kuupata kwa kufanya tahajudi, au kuamini kwenye asili au uwezo mkubwa wa akili yako huu ndo unaotumiwa na manabii wengi na huu uchawi kila mwanadamu anao wengi wanahuita uungu kwenye jamii unatumika kuponya magonjwa, n.k
Kuhusu uchawi mweusi huu ni kwaajili ya kumtesa mwanadamu unaupata kwa majini wabaya, shetani au washirikina kwenye jamii unaifanya isiwe na maendeleo kwa kuwajaza watu iman mbovu
 
Mkuu umechanganya mambo, majini yote yanafanya mambo ya kichawi lakini sio uchawi wote unahusisha majini, majini ni uchawi wa baharini au maeneo yaliyo karibu na bahari, au nchi kavu kwa kusudi maalum(kufugwa), ila majini asili yake ni baharini(sio ziwa Wala mito),halafu kuna uchawi wa nchi kavu, huu umegawanyika makundi kibao, kuanzia wafuga nyoka n.k
Mkuu wewe umewahi kuona majini kwa macho au unaongea kwa mjibu wa maandiko ya vitabu vya dini?
, ila vyovyote vile uchawi upo lakini sio kwa ajili ya maendeleo, zaidi kwa ajili ya kuharibu maisha ya watu.
Kama kweli upo na upo kwa ajili ya kuharibu maisha ya watu upuuzwe tu
 
uchawi mweupe unaweza kuupata kwa kufanya tahajudi,
Tahajudi? Kumbe inaweza kuleta uchawi mweupe unafanya je fanyaje
nataka kujua
au kuamini kwenye asili au uwezo mkubwa wa akili yako huu ndo unaotumiwa na manabii wengi na huu uchawi kila mwanadamu anao wengi wanahuita uungu kwenye jamii unatumika kuponya magonjwa, n.k
Aisee nashindwa kuelewa hapa duh🤔
Kuhusu uchawi mweusi huu ni kwaajili ya kumtesa mwanadamu unaupata kwa majini wabaya, shetani au washirikina kwenye jamii unaifanya isiwe na maendeleo kwa kuwajaza watu iman mbovu
Yale yale yasiyo na maana
 
Back
Top Bottom