Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,649
- 14,319
Read between the lines mkuu…….. Kitu ambacho hakipo na wewe ukakubali tu kipo bila uthibitisho hiyo ni IMANIHakuna watu ambao wanaamini hivyo vitu kwa pamoja hadi uwaite kuwa ni watu wa imani,watu hutofautiana katika kuamini hivyo vitu. Wapo wenye kuamini Mungu ila hawaamini kuwepo kwa majini,uchawi wala mizimu na wapo wasioamini Mungu wala malaika ila wanaamini mizimu au uchawi n.k
Lakini pia watu hawaamini kila kitu kama usemavyo et kisa wao ni watu wa imani, watu hutofautiana wanavyoamini na si kwamba wanaamini kila kitu, watu wana sababu zao tofauti za kuamini na ndio maana hutofautiana hata huo uchawi wapo wenye kuamini uchawi ila hawakubaliani na kwamba uchawi unaweza kusaidia katika mapenzi au kupata pesa kama ambavyo wengine wanaamini.
Hivyo suala la watoto kuchanjwa ni jambo ambalo hufanyika na matokeo hupatikana ambayo yaliyokusudiwa. Sasa mimi nimelileta hili ili tujadili hayo matokeo yanayopatikana baada ya mtoto kuchanjwa je ni nini hasa? Ni saikolojia tu au ni kitu gani?
Haijalishi unaamini nini au vitu vingapi……….. hivyo nilivyoviandika ukiamini hata kimoja tu ni IMANI
Kuleta habari zako za kusikia jambo la IMANI halafu unataka mimi nijadili maana yake ni kwamba unanifanya na mimi nisitumie AKILI nianze kujadili mambo ambayo hayaiingi akilini
Thibitisha kwanza wanapona kwa kuchanjwa halafu mengine yatafuata