Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,748
- 27,469
Sijui tuite mapinduzi katika sekta ya ulozi na uganga!?
Haya yanafanyika na yanatokea kila siku mitaani na katika jamii zetu,yaani mtu anafanya kitu ndivyo-sivyo alimradi to inakuwa ametimiza kusudio la bwana mganguzi.
-Upo uchawi unaotumia kupatwa kwa jua au mwezi,mti uliopigwa radi,kamba aliyojinyongea mtu,n.k,
Uchawi huu ni maalumu mno kwa kuwafanya wakusudiwa waende kinyume nyume, yaani kama una nyumba yako na hutaki kuiuza basi hakika utabadili mawazo haraka sana na kuiuza, kibaya kabisa washenzi hawa huweza kuzitiririsha fedha zenyewe zitakazo patika pia ziwe ndivyo-sivyo!
-Endapo kama umpendi mwingine na hutaki ujulikane basi unapofanyika uchawi huo mtu hupata ghadhabu na kujiangamiza yeye mwenyewe/
-Huwa mnasikia wakati mwingine mtu bila hata sababu za msingi eti ameona tu bora ajiue!?
-Alkadhalika pia hutumika katika kumfanya mtu kuiona kazi mbaya na aiache mwenyewe,na kukaa bila kazi ndiyo aone raha sana.
-Kumpelekea mtu kufanya tathmini ambazo hazipo ambazo mara nyingi huenda kumpa shida yeye mwenyewe!
•••NGUVU HIZI ZOTE TUNAWEZA KUZISHINDA KWA KUJITATHMINI SISI WENYEWE MARA KWA MARA MAANA NGUVU HIZI HUTUMWA KATIKA KUSHAMBULIA NA KUSHAWISHI NAFSI,HIVYO MARA NYINGI TUNAWEZA KUZISHINDA KWA WEWE BINAFSI KUJITATHMINI JUU YA ""YOUR OWN HISTORY PATHWAY AMBAYO KILA MWANADAMU MWENYE AKILI TIMAMU HUWA NAYO!
""Wewe binafsi na bunduki yako moja huwezi kiwashinda wanajeshi 1000 wenye bunduki ""