ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,834
- 44,487
- Thread starter
- #541
Nifundishe uchawi mkuuWengi hatuielewi dhana ya uchawi coz hatuwazi nje ya box, dhana ya uchawi inatekelezwa kwa material ambayo yapo proved scientifically, mfano MTU anataka kukusababishia ugumba, ataandaa chemical compound ya mimea au viumbe wengine ajili ya kuleta madhara ktk mfumo wa uzazi, ila kwa kua yote haya hufanyika locally ndo maana kuna ukinzani was mitizamo