Kila tukishusha verse we unasema hatari,,Dah hatari🤣
Kanisani kwetu Mimi ni mtawa,Kwa hapo nadhani wewe ndio tu haupo sawa,,
Umeathirika na sio UKIMWI bali madawa,,
Ningekugonga mikono ka Hiroyuki Tagawa,,,
Siku hizi church kwenu mnatumbua Viwawa
Nitaanza kukuwinda kama wewe ni kiwawa,,,Kanisani kwetu Mimi ni mtawa,
tena ni kibawata sipo kwa viwawa,
Mimi ni mkristu ila nimemwoa Hawa,
Yule mtoto wa shekhe Sharifu madawa.
Kumbuka natokea mara na naitwa Marwa,Nitaanza kukuwinda kama wewe ni kiwawa,,,
Waelezee polisi unataka kuuwawa,,,
Nakuchezesha gwaride mgu pande mgu sawa,,,
We ni kama harmorapa halafu mimi kontawa
Huko wanawatahiri ila mi nakukeketa,,Kumbuka natokea mara na naitwa Marwa,
kule shoka lilikochomwa lakini mpini haukuunguwa,
kule ambako wanaume kwa kisu butu hutahiriwa,
Kule ambako kichuri ni tamu sana kuuzidi muwa,
Kule ambako ukishindwa kutongoza unauawa,
kule ambako hakuna hawa mnaowaita machawa,
kule ambako sumu ukiimeza haikuui bali ni dawa,
ok, kama hujaelewa nitakugoezea na zingine, sawa?
KERATO MOMBAA.
Hao nimeshindwa kuwatambuaKweli hakuna unayemtambua,
maana macho umeyatumbua,
kweli Roza ni ukerewe mwanza,
shuleni ni mtoro vichakani anajibanza.
Mimi ni kama MessiKila tukishusha verse we unasema hatari,,
Ngoja sasa kwenye jamvi mi nikupige kabari,,
Wewe ni chobwedo huwezi hata kuwa Saibari,,
Ulidhani Juice, leo unaleweshwa Safari,,
Hujapewa habari zangu kwamba nashenyeta?Huko wanawatahiri ila mi nakukeketa,,
Kwenye verse ntakutwanga halafu nitakupeta,,
Jinsi ulivyovaa kama dancer wa twanga pepeta,,
Upo tayari leo kuzaa na predator?
Moja coastal union aliichezea,Hao nimeshindwa kuwatambua
Yaani sijawajua
Ila huyo binti ni wa Mwanza
Japokuwa kumkumbuka sitiweza
Tena kama fisi,Mimi ni kama Messi
Wewe kichwa fenesi
Sihitaji kesi
Ewe mtesi
Hivi ni nini unahisi
Hivi kweli unaju mi ni Doctor we ni Nesi?Mimi ni kama Messi
Wewe kichwa fenesi
Sihitaji kesi
Ewe mtesi
Unacheza shikorobo utadhani we ni Shetta,,Hujapewa habari zangu kwamba nashenyeta?
Nitakufanya kitu mbofu hadi ukimbilie Mahuta,
Yaani kwangu Kila siku utaimba continua aluta,
Mbona kunichokoza mimi kutakufanya kujuta,
Hadi utaomba mods kauli yako kufuta.