uzinifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

    Uzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako. Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
  2. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Kujichua Vs Uzinifu 🤔

    Kujichua (Masturbation) vs Uzinifu Je, mtu afanye nini anapozidiwa na hisia za kimapenzi? Umewahi kusikia neno kujichua (masturbation)? Watu wazima wa jinsia zote hujikuta wakikumbwa na hisia za kimapenzi ambazo kama hazitakidhiwa kupitia (mpenzi ,mume mke ) mtu anaweza kujikuta...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Marejesho yanachangia sana uzinifu wa wake za watu na ushirikina kwenye ndoa

    Bw na bibi marejesho Naomba tu nikujuze kwa kweli ulipofikia sio pazuri Ingawa baadhi wanawapenda lakini hapana mpunguze makali ktk familia za watu Wapendwa nimeona niwajuze tu kwenye ndoa kuna mengi sana Kati ya mambo yanayotesa n marejesho.... Marejesho yamekuwq n shida sana ktk baadhi ya...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kiswahili fasaha ule Ute Ute mweupe na usionuka unaopatikana Ukeni wakati wa Tendo la Ndoa / Uzinifu unaitwaje?

    Nijibuni haraka upesi tafadhali kwani kuna Mwanafunzi wa Lugha ya Kiswahili Mgeni anataka kujua na Mimi wala sijui.
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje na ukafanikiwa kujizuia, kupunguza na hatimae kuacha kabisa uzinifu na uchepukaji?

    Lakini pia ulitumia mbinu gani na zilizokufanikisha kuacha umalaya, usagaji, nyeto, uasherati na udangaji, hadi sasaivi unaonekana umetakata, una afya njema, unavutia, nadhifu, unaaminika na kuheshimika mbele ya jamii?🐒 Maana madhara ya uchafu huo ni bayana, yameathiri pakubwa jamii nzima ya...
  6. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Tuacheni uzinifu, madhara yake ni makubwa sana hata ukitoa magonjwa yaliyopo

    Leo ngoja niweke ushahidi wangu binafsi. Kuna mahala kwenye mijadala yangu humu niliwahi kusema nina mke mmoja na michepuko watatu ila watu wakapinga. Lakini ukiachana na michepuko hao watatu wapo wengine wasio rasmi ambao kila nikikanyaga mikoa husika nachagua mmoja aje kutoa huduma. Hapo...
  7. ITR

    JamiiForums Tanzania Wanawake uzinzi una gharama kwenu kuliko wanaume

    Kwanza niseme uzinzi si kitu kizuri kwa jinsia zote ila mwana mke ana athirika kwa kiasi kikubwa kutokana na maumbile yake. (1)Kwanza nianze kwa kusema kuwa wanawake wazinzi ni mabingwa wa kutoa mimba yaani ni wauwaji na magaidi ,kama ww umetoa mimba huna tofauti na boko haram. (2) Wakati ww...
  8. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Huu sio uzinifu?

    Hivi kufanya imagination kwa sisi wanaume unapokaribia kutoa wazungu kuwa una Lucy wakati mpo na Neema sio uzifu? Hata wanandoa wengi utamu ukikolea huwa wanapiga imagination kuwa Wana mtu fulani tofauti na mke au mme wake ndipo wanafika kileleni haraka. Hali kadharika wapiga ponyeto nao...
Back
Top Bottom