Kujichua Vs Uzinifu 🤔

Kujichua Vs Uzinifu 🤔

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
16,674
Reaction score
39,437
Kujichua (Masturbation) vs Uzinifu

Je, mtu afanye nini anapozidiwa na hisia za kimapenzi?

Umewahi kusikia neno kujichua (masturbation)?

Watu wazima wa jinsia zote hujikuta wakikumbwa na hisia za kimapenzi ambazo kama hazitakidhiwa kupitia (mpenzi ,mume mke )

mtu anaweza kujikuta akihangaika hadi kufikia kujichua

Hali hii mara nyingi huwapata zaidi watu wasio na wenza, (Single)au
wale ambao wenza wao wako mbali, au wale ambao hawatoshelezwi kimapenzi ndani ya mahusiano yao au ndoa zao

Kwa upande mwingine, watu walio kwenye ndoa zenye utulivu mara nyingi hali hii haiwakuti sana kama mahusiano yao yapo sawa

(na kwanini mtu una mke&mme ufanye hayo )

Swali langu lipo hapa kwa wale ambao tayali wanajua ladha ya mapenzi ila kwa wakatii huo hawana mtu wa halali(ndoa)

Hii ni kwa mkutadha wa dini

Sasa najiuliza, kwa wale wanaoamini dini mbalimbali
vitabu vitakatifu vinasisitiza kujizuia na pia kukataza uzinifu
Kwa mfano:

Qur’an:
Inasisitiza kujilinda na kudhibiti tupu
Na wale wanaolinda tupu zao, isipokuwa kwa wake zao au iliyo mikono yao ya kuume (Al-Mu’minun 23:5–7)

Biblia:
Inakataza uasherati na inasisitiza kujiepusha na tamaa za mwili
Epukeni uasherati…(1 Wakorintho 6:18)

Hapo tunaona vitabu vyote vinaweka mkazo juu ya mambo ya mapenzi yasio halali (ndoa)

Sasa swali linabaki:
Kama uzinifu ni katazo, na pia kujichua kwa baadhi ya mitazamo ya kidini huonekana si sahihi, basi mtu ambaye hana ndoa afanye nini anapozidiwa na hisia za kimapenzi?

Je, bora uzinifu au kujichua?

Hapa jukwaani kuna wale wasiofungamana na dini yaani hawaanimi hivi vitabu 2

Tusiwaache nyuma wasioamini katika dini pia

je nyie mnaonaje hili swala? Au kwenu hakuna mwiko kabisa kwenye jambo hili?

Wadau, tujadiliane kwa heshima bila kubezana maana hii ni hali inayowagusa watu wengi ila haizungumzwi waziwazi

Yanachukuliwa kama mambo ya aibu ila watu wanafanya mafichoni

Mnaonaje nyie?

ShesRise_1 ✋️
Blue Monday 💙
 
Screenshot_20260620-185125.png


C.c mzabzab
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom