Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,367
- 10,396
Sitaki uninunulie gari weweSasa nimeona fahari,
kusikia unapenda daftari,
ukifaulu nitakununulia gari,
na kukupeleka nje ya sayari,
Pia nitakuzawadia madolari,
Ili wewe ujivinjari.
Haya ☝️ yote pigia mstari 😎.
Ni bora nijinunulie mwenyewe
Kisha nikwee mwewe
Niende mamtoni sio msewe