Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 903
- 1,317
- Thread starter
- #121
Utandawazi umezidi na maovu yamezidi.Utandawazi umezidi, hata hivyo uzinifu ulikuwepo na upo, ni mtu binafsi na maamuzi yake.
Utandawazi umezidi na maovu yamezidi.Utandawazi umezidi, hata hivyo uzinifu ulikuwepo na upo, ni mtu binafsi na maamuzi yake.
Sio mwanamke tu hata wanaume nao wanazini.Mwanamke kupewa uhuru wa ngono bila kuwepo namna za kumwajibisha katika ngazi ya familia wala jamii.
Kwa sababu sheria hairuhusu hivyo vitu.Kwa nini ushoga bado unapingwa kwa nguvu sana na watu dini zote?
Kwa nini Kitimoto bado kinapingwa kwa nguvu sana na Waislamu?
Na wanaume je?Sababu Wanawake wanatamaa sana
hawajafundishwa umuhimu wa kutunza BIKRA
Hapana mimi ni mwenyeji.We ni mgeni hapa Duniani eh?
Tuanzishe tu tunyooshane kwa mistari.Al-mukheef secretarybird Jobless_Billionaire na KERATO MOMBAA
Munaonaje tukaanzisha uzi ili tuwe tunapiga flows na punch lines kali.
Mwanamke akikataa utambaka?Na wanaume je?
Mwanamke akikataa utambaka?Na wanaume je?
Usipomfuata mwanamke yeye atazini vipi?Mwanamke akikataa utambaka?
Anaeolewa na kutolewa mahari anabidi pamoja na kubeba mimba inabidi achunge uchi wakeUsipomfuata mwanamke yeye atazini vipi?
Kwa kiasi kikubwa mwamuzi mkuu ni mwanamke. Maana yeye anafuatwa. Hauwezi kumkataza simba asimle swala. Kama hautaki swala aliwe mwambie asikatize mitaa ya simbaSio mwanamke tu hata wanaume nao wanazini.
Mwanamke ndio goalkeeper azuie au aachie goliKwa kiasi kikubwa mwamuzi mkuu ni mwanamke. Maana yeye anafuatwa. Hauwezi kumkataza simba asimle swala. Kama hautaki swala aliwe mwambie asikatize mitaa ya simba
Mwanaume asichunge uchi wake?Anaeolewa na kutolewa mahari anabidi pamoja na kubeba mimba inabidi achunge uchi wake
Kwa hiyo ni ruhusa kwa mwanaume kuzini?Kwa kiasi kikubwa mwamuzi mkuu ni mwanamke. Maana yeye anafuatwa. Hauwezi kumkataza simba asimle swala. Kama hautaki swala aliwe mwambie asikatize mitaa ya simba
Mwanaume anaolewa?? anabeba mimba??Mwanaume asichunge uchi wake?
Popoma umemtajaHakuna niliyemuita
Mimi nilikuwa napita
Kwenye mada nimejikita
Sina mbwembwe za insta
Jamii inawaangalia mwanaume na mwanamke katika namna tofauti. Kwenye suala la uzinzi jamii inamuhukumu na kumnyanyapaa zaidi mwanamke.Kwa hiyo ni ruhusa kwa mwanaume kuzini?
Hapa nazungumzia kuzini.Mwanaume anaolewa?? anabeba mimba??
Hapa nazungumzia kuzini.Mwanaume anaolewa?? anabeba mimba??
Hapa mimi nawazungumzia wote migo.Jamii inawaangalia mwanaume na mwanamke katika namna tofauti. Kwenye suala la uzinzi jamii inamuhukumu na kumnyanyapaa zaidi mwanamke.
Hiyo haimaniishi kwamba mwanaume yeye upande wake ni mseleleko tu. Kuna masuala ambayo anahukumiwa vikali sana lakini mwanamke anapewa unafuu mfano suala la umasikini, jamii inamuhukumu mwanaume kikatili sana tofauti na mwanamke.
Sio haki, lakini nature ndio imeamua