Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

Sababu ni moja tu population ya watu.

Mbona huulizi kwanini magari yamekuwa mengi siku hizi.

Shule ni nyingi,
Hospital zinaongezeka,
Bar & club zinaongezeka,

Kadri watu wanavyokuwa wengi na idadi ya kila kitu huongezeka.

Uzinzi ulikuwepo enzi na enzi
 
Lakini hii kasi ya sasa si ya kawaida maana mpaka watoto wadogo wakibalehe na kuvunja ungo tu tayari wanaanza ngono.

Na pia siku hizi ndoa zinapungua licha ya population kuongezeka kama unavyosema wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom