Agent Smith
Member
- Jul 2, 2026
- 55
- 130
Mwanamke kupewa uhuru wa ngono bila kuwepo namna za kumwajibisha katika ngazi ya familia wala jamii.
Nyangwisi ni mtu hasi,Hivi ni nini unahisi
Ni maana ya nyangwisi
Hiyo lugha si halisi
Au ni jina la fiksi
Nitakuonea sana ukinishitaki hakumi anapeta,Unacheza shikorobo utadhani we ni Shetta,,
Nilisema sikutahiri ila mi nakukeketa,,
Mi umeme wa Tanesco halafu wewe ni jenereta,,
Ninaonekana ninang'ara we unameremeta,,
Kwa nini ushoga bado unapingwa kwa nguvu sana na watu dini zote?Zamani tumeishi Kwa nidhamu kwakuwa wazazi na walezi walituasa kuhusu ubaya wa ngono, lakini pia si rahisi kusikia mama au Baba amefumaniwa,au kuzungumzia mapenzi hadharani.
Sahizi single Maza aliyepanga chumba kimoja analeta bwana,au kuwatambulisha watoto mabwana wapya daily.
Siku hizi mtu anapokea simu anaongea mbele ya watoto,namna ambavyo alifurahishwa alivyofanywa.
Siku hivi Baba anakaa nje na kipenzi akipunga upepo huku yupo kifua wazi wadada wenye ma**ko makubwa wakipitq anawazimamisha na kuwatongoza ,huku watoto wake wanaona,..
Kuna mtu anabadilisha nguo mbele ya mtoto wake wa kumzaa ukiuliza eti hajavua zote yupo na pichu
Wachungaji ,mapadre na masheikh hawatishi kama zamani,Kwanza wao wenyewe wanaongoza Kwa skendo na ufuska ,hivyo waumini wao hukata tamaa na kuona ni mambo ya kawaida.
Lakini la mwisho ni watoto wa kike kuijua pesa mapema wakati hawana kazi au hawajafikisha vigezo vya kufanya kazi
Kuna mamantilie mmoja ana wasichana wawili ambao Kwa maelezo yake,anawalipa shilings elfu tatu Kwa siku,Kwa umri wana miaka 15 Hadi 17 hawavuki hapo.
Cha kusikitisha aliniambia kila msichana amepanga na analipa Kodi chumba ni 40k Kwa Mwezi yaani miezi mitatu laki na ishirini.
Swali la kujiuliza ,umri ambao alitakiwa awe secondary yupo mtaani ,je anapata wapi pesa ya Ziada kwasababu kipato chake ni kidogo?
Jibu ni kwamba anaishi Kwa kutegemea mabwana, kwahiyo naungana na wewe ongezeko la uzinifu mtaani.
Mbona usoni una vipele vya Mbu,,Jobless_Billionaire na secretarybird mmekutana..
acha nitulize pumbu
maana mwasakata kapumbu
nisije poteza kumbukumbu
nikakimbilia mto wa mbu
Angalia tunavyosakata kabumbu,Jobless_Billionaire na secretarybird mmekutana..
acha nitulize pumbu
maana mwasakata kapumbu
nisije poteza kumbukumbu
nikakimbilia mto wa mbu
Hahaha ni nomaNyangwisi ni mtu hasi,
Asiyefanya mambo halisi,
yaani Kila siku anamambo meusi,
japokuwa siyo jasusi,
Na pia siyo pisi.
Naona mwaita mtu kwa shariHahaha ni noma
Jina linaleta homa
Hata ukilisoma
Utasema popoma
Tuliza zako konyagiMbona usoni una vipele vya Mbu,,
Inawezkana usiku bwana mdogo unapigwa pu...,,
Umekuja kama fumbo ninakufumbua fumbu,,
Au nakuvulisha shati nakucharaza na tambu
secretarybird Al-mukheef
Hakuna niliyemuitaNaona mwaita mtu kwa shari
Muoneshe yenu ari
Nitamuita tayari
Awashughulikie kwa shari
Sawa lakini iwe ndani ya ndoa pekee.Imeongezwa kama basic needs kwahiyo sio Tena food, clothes and shelter but now pia na sex imekua included
Lakini inatakiwa uwe ndani ya ndoa huko oa hata mke zaidi ya mmoja.sasa wewe watu walidanganywa ya kuwa kudinya mrembo mmoja na kuwa na mke mmoja ndio dili. uwongo mtupu watu wamejanjaruka wameshaona it is against nature ya mwanadamu kutulia na mbunye au mboro moja. raha ya dunia ni kugegedan mwanawane. wewe enjoy tunda la utam utam.
I second you migo.Utandawazi hasa teknolojia ndio hufanya hivo hofu Tena haipo.pia wingi wa watu
Mimi sishangai ukahaba ila nashangaa uzinifu kwa ujumla.Nabii DAUD alimlomba mke wa mwanajesh wake eti akizan KAHABA alafu wewe unashangaa ukahaba shame n u😥😥🏃🏃🏃
Tuliza akili migo CCM how come inaingia kwenye uzinifu😂Haya yote ni CCM.
Kazi ni kipimo cha utu
Ushoga nao pia ni kuzini.Dhambi kubwa kwa wanadini ni ushoga na kula kitimoto.