Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

Globalisation imekuja na athari chanya na hasi, haya yote unayojiuliza ni athari hasi za utandawazi. Maonyo ya wazee na vitisho vimepungua baada ya kuchangamana na tamaduni za kigeni huku wazee na wazazi kuishiwa njia mbadala ya kuwadhibiti watoto majumbani na hasa serikali kutokuwa na mikakati madhubuti ya kupunguza athari hasi kwa kutunga sera na hata masomo yanayoendana na kuuenzi utamaduni wetu mashuleni zaidi ya ku embrace kila kinachotoka nje.
 
Kweli kabisa utandawazi ni moja katika sababu kuu.
 
Zinaa imeongezeka kwa sababu ya ongezeko la.watu.
Ndiyo maana hospitali, shule, vyuo, miundombinu ya barabara nk pia vimeongezeka.
Viongozi wa dini waendelee kukumbusha makatazo ya Mungu ili kuipunguzia jamii magonjwa ya kuambukiza.
 
Sababu ni moja tu population ya watu.

Mbona huulizi kwanini magari yamekuwa mengi siku hizi.

Shule ni nyingi,
Hospital zinaongezeka,
Bar & club zinaongezeka,

Kadri watu wanavyokuwa wengi na idadi ya kila kitu huongezeka.

Uzinzi ulikuwepo enzi na enzi
umefunga mjadala ahsante mkuu
 
Uzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako.

Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
Utakuwa wewe ndiyo unateswa nao kwa kuwa umri unaruhusu,ila babu na bibi zako hayo kwa sasa ni zilipendwa,enjoy wakati wakomaishani hamna kujilinganisha hata na jirani yako jua wewe ni nani na ishi kama wewe na tamani yeyote aishi kwa jinsi unavyojitambua.Kama hujitambui ni bora kila mmoja akaishi bile alivyojaliwa kuwa.Hamna kulazimishana iwapo akili yako haiwezi mwongoza mwenzio!
 
Fedha imerahisisha upatikanaji wa ngono.Halafu fedha inatabia kutengeneza class,ndio maana hata mwenye buku mbili anamaliza hamu zake kwa mtu wa level yake na watu hawaichukulii serious.Ndio mamna upendo ndani yake na ndio sababu kuna mitindo ya ajabu ajabu ambaye mara nyingi huwaumiza wanawake na wao hawajali sababu wanapata fedha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom