Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 903
- 1,317
- Thread starter
- #21
Kuja PM.Una video yoyote ya wanachuo unipe connection
Kuja PM.Una video yoyote ya wanachuo unipe connection
Basi matamanio ya watu wa sasa yamezidi.Matamanio tuu
Zamani tumeishi Kwa nidhamu kwakuwa wazazi na walezi walituasa kuhusu ubaya wa ngono, lakini pia si rahisi kusikia mama au Baba amefumaniwa,au kuzungumzia mapenzi hadharani.Hakika mkuu teknolojia na utandawazi umechangia uzinifu kuzidi ingawa sijakuelewa unaposema maisha hayana vitisho kama zamani.
Ni miongoni mwa vyanzo vya mapatoUzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako.
Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
Yaani siku hizi watoto wanawaleta wapenzi wao kwenye nyumba wanazoishi na wazazi wao na cha kushangaza wazazi hawasemi chochote kuonyesha kupinga zaidi ya kukenua tu meno.Zamani tumeishi Kwa nidhamu kwakuwa wazazi na walezi walituasa kuhusu ubaya wa ngono, lakini pia si rahisi kusikia mama au Baba amefumaniwa,au kuzungumzia mapenzi hadharani.
Sahizi single Maza aliyepanga chumba kimoja analeta bwana,au kuwatambulisha watoto mabwana wapya daily.
Siku hizi mtu anapokea simu anaongea mbele ya watoto,namna ambavyo alifurahishwa alivyofanywa.
Siku hivi Baba anakaa nje na kipenzi akipunga upepo huku yupo kifua wazi wadada wenye ma**ko makubwa wakipitq anawazimamisha na kuwatongoza ,huku watoto wake wanaona,..
Kuna mtu anabadilisha nguo mbele ya mtoto wake wa kumzaa ukiuliza eti hajavua zote yupo na pichu
Wachungaji ,mapadre na masheikh hawatishi kama zamani,Kwanza wao wenyewe wanaongoza Kwa skendo na ufuska ,hivyo waumini wao hukata tamaa na kuona ni mambo ya kawaida.
Lakini la mwisho ni watoto wa kike kuijua pesa mapema wakati hawana kazi au hawajafikisha vigezo vya kufanya kazi
Kuna mamantilie mmoja ana wasichana wawili ambao Kwa maelezo yake,anawalipa shilings elfu tatu Kwa siku,Kwa umri wana miaka 15 Hadi 17 hawavuki hapo.
Cha kusikitisha aliniambia kila msichana amepanga na analipa Kodi chumba ni 40k Kwa Mwezi yaani miezi mitatu laki na ishirini.
Swali la kujiuliza ,umri ambao alitakiwa awe secondary yupo mtaani ,je anapata wapi pesa ya Ziada kwasababu kipato chake ni kidogo?
Jibu ni kwamba anaishi Kwa kutegemea mabwana, kwahiyo naungana na wewe ongezeko la uzinifu mtaani.
Duh basi hii ni hatari.Wachungaji ,mapadre na masheikh hawatishi kama zamani,Kwanza wao wenyewe wanaongoza Kwa skendo na ufuska ,hivyo waumini wao hukata tamaa na kuona ni mambo ya kawaida.
Hakika, lakini pia kuna wengine wana vipato vizuri lakini wanazini vibaya mno.Ni miongoni mwa vyanzo vya mapato
Wanawake wamekuwa rahisi sana ,wakaze kama ilivyokuwa zamani.Uzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako.
Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
Daah mizigo inatolewa sana siku hizi.Wanawake wamekuwa rahisi sana ,wakaze kama ilivyokuwa zamani.
Wasijirahisishe ,ukimkazia mwanamme lazima aelekee KIBLA ,ila wanawake wenyewe NJAA kali hawawezi kukaza maana anaona atampoteza mtu bora atoe mzigo apate huduma huku akisubiria ndoa kama itakuwepo.
Mwandishi unashindwa kutofautisha kati ya uasherati na uzinifu, shame on youUzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako.
Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu dunianmwa
Hili nimejionea mwenyewe, tena watoto wa single mother asie jielewa eti kademu kanasema njoo tu huyo hanaga shida, yani mama yakeYaani siku hizi watoto wanawaleta wapenzi wao kwenye nyumba wanazoishi na wazazi wao na cha kushangaza wazazi hawasemi chochote kuonyesha kupinga zaidi ya kukenua tu meno.
kwahiyo hata wewe unaendeleza tu hujaachaUzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako.
Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
Uasherati ni upi na uzinifu ni upi?Mwans
Mwandishi unashindwa kutofautisha kati ya uasherati na uzinifu, shame on you
Na ukute watafanyia uzinzi wao humo humo.Hili nimejionea mwenyewe, tena watoto wa single mother asie jielewa eti kademu kanasema njoo tu huyo hanaga shida, yani mama yake
Umejuaje?kwahiyo hata wewe unaendeleza tu hujaacha
Hakika watu wanazidi kukosa hofu kadri siku zinavyosonga mbele.Dini zimeishiwa ushawishi watu hawana imani ya dini wala hofu
Ni dalili za kiyama kwa wanaoamini wasio amini hii coment haiwahusu piteni kama hamuioniHakika watu wanazidi kukosa hofu kadri siku zinavyosonga mbele.
Nakuunga mkono 100%.Ni dalili za kiyama kwa wanaoamini wasio amini hii coment haiwahusu piteni kama hamuioni
Sasa wanapataje kipato kwa kuzini wakati Hali ya kipato ni ngumu?Hali ya kipato ni ngumu wamejiongeza waweze kuishi