Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Na bado nipo kwenye mchakamchaka dadadekiii. Muhimu tafuta hicho kitabu Know your enemies and watch your friends, kina majibu kuhusu hii mada yako, hakizidi sh 10,000
Ntakinunua na mrejesho nitaleta

Pole kwa visa na mikasa
 
Mawazo ya mtu unayajua kupitia matamshi yake hata kama jambo amelitamka kiutani.
Ndio kabisa...
Na aki danganya je?

Inshort tuseme tu unaweza kujua emotional aspect ila mawazo Kamwe ni ngumu kuyajua

Watoto ni wazuri sana wa ku fake mawazo yao na wakakupa tabia ambayo ni ya Uoga juu yako..

ShesRise_1
 
Ntakinunua na mrejesho nitaleta

Pole kwa visa na mikasa
Pole ya nini sasa 🤣

Kuna watu wengine huwa wapo kwa ajili ya kupitia mazingira fulani ili waje watoe uzoefu kama utasikiliza mapitio yao na ukapata somo ni sawa, ukipuuzia yakikukuta utajijua maana ulishapewa kabisa maelezo
 
Jamani, si kila utani wangu unamaanisha ujumbe mzito unaofichwa! Hahaha! Mengine ni utani tu, kwa ajili ya kufurahisha. Labda crush wangu TANMO akutanie. Lol
😅😅 muone huyu kanikimbia kijanja
Anyway ngoja crush wako aje 😊
 
Pole ya nini sasa 🤣

Kuna watu wengine huwa wapo kwa ajili ya kupitia mazingira fulani ili waje watoe uzoefu kama utasikiliza mapitio yao na ukapata somo ni sawa, ukipuuzia yakikukuta utajijua maana ulishapewa kabisa maelezo
Haiyaaa nimesikia
 
Kwa uelewa wangu binafsi naamini hakuna mtu ambaye anaweza kusoma mawazo ya mtu,yes hakuna kabisa

Ila kuna uwezekano wa kujua kama huyu mtu anaongea ukweli au uongo kupitia kusoma matendo ya mwili wake

Kuna kama alama 5 muhimu sana za kujua kama huyu mtu analosema ni kweli au uongo,lakini ni muda mrefu sana umepita na nimezisahau

Na kupitia intuition/machale tunaweza hisi hali flani flani kwa watu wanao tuzunguka lakini kujua kile ninachowaza na kufikiri hapana aisee

Asante
 
Kwahiyo wewe huamini kabisa kama kuna wataalamu wa kusoma mawazo ya mtu kabisa kabisa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom