Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,007
- 6,719
Dua kama vile Al Badr. Hii itakuwa ni jambo zuri.
Mara tu ukisikia mtu ametekwa unasoma dua.
Je ,kuna faida yoyote kusoma dua?
Sijui.
Lakini soma dua,choma udi,washa mshumaa.
Mshumaa wowote .
Wengine wanasema mshumaa mzuri ni ule uliotengenezwa kwa mafuta ya binadamu.
You will not believe this.
Lakini in the West,yapo maduka ambayo unaweza kupata mshumaa uliotengenezwa kwa mafuta ya binadamu.
Au kama mtu ameiba fedha nyingi za uma,soma dua.