Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Kama watoto wanakua waoga kwako utakua mkali sana wewe. Hawawezi kuwa waoga kwa kila mtu. Ukikaa nao ukawaongelesha vizuri utaelewa wanachowaza... watasema wanaogopa utawachapa.
That's why nilisema inakuwa ngumu endapo mtu aliamua ku fake, mfano mtu anaweza kuja kukuambia uongo kuhusu mtu ila ukashidwa ku trace kama anayo sema ni kweli au laa
 
Hello Twin, iko hivi, kwenye hili suala la kusoma mawazo kuna ukweli mmoja unaosema hivi, binadamu wote huwa tunaongea lugha mbili kwa wakati mmoja, kwanza huwa tunaongea kwa kutumia maneno na mwisho huwa tunaongea kwa kutumia mwili na hisia.

Fikiria kwa mtindo huu, issue huwa iko hivi ,maneno yetu huwa yanapangwa na eneo la mbele la ubongo linaloongozwa na nia na maamuzi, na ndio maana ni rahisi sana mtu kuamua kuigiza na kusema anachotaka ili kukufurahisha. Hata hivyo, uhalisia wa hisia za mtu iwe ni wivu au hofu huwa unasimamiwa na limbic system, ambayo ni sehemu ya ndani kabisa ya hisia zetu na uzuri au ubaya wa hiyo sehemu huwa haina uwezo wa kudanganya. Ule ukweli unaokuwepo moyoni mwa mtu huwa unalazimika kujitokeza nje kwa namna fulani ambayo muigizaji mwenyewe hawezi kuzuia kabisa.

Hata mtu awe mwigizaji mzuri vipi, hawezi kuidhibiti limbic system yake isitume signals nje, kuna namna uso, tone ya sauti na miondoko ya macho huwa inakuwa tofauti sana na kile anachosema mtu, yani lugha ya mwili inakuwa inapingana na maneno.

Ili kuelewa hili, ukifuatilia utagundua binadamu huwa tunatumia maneno kuelezea asilimia 7 -10 tu ya kile tunachowaza au kuhisi na asilimia inayobaki huwa inatoka kwenye mwili yani tone ya sauti na ishara zingine.

Kinachotokea kwenye hii situation mtu kuonekana kama ana uwezo wa kusoma mawazo ya mtu mwingine ni ile intuition kubwa unayokuwa nayo, yani ule uwezo wa ubongo wako kunusa nishati na tabia zisizoendana.

Kinachowatokea wengine ni ile experience wanayokuwa nayo, mtu anakuwa na kumbukumbu nyingi sana labda za jinsi watu wadanganyifu au wenye wivu wanavyo-behave, kwa hiyo akiona mtu anafanya hivyo sasa hivi, ubongo wake unampa taarifa haraka sana kulingana na uzoefu wake wa huko nyuma.

Kuna wengine waliojaliwa kuwa na observation skills za kipekee, changamoto pekee ya kuwa na huu uwezo ni kwamba it can be very exhausting! Yaani inachosha sana maana huwezi kufurahia mazungumzo ya kawaida ya kijamii bila kuona unafiki na uchafu uliopo nyuma ya tabasamu feki la mtu, unakuwa unajikuta unajua siri za watu wengi kabla hata hawajafungua midomo yao kuzungumza, so mimi naunga mkono hoja yako mia kwa mia, wewe una high observation power na unaweza kujiita mtambuzi au genius wa tabia za watu bila wasiwasi wowote.
 
Mkuu inawezekana ila siyo kwa 100%.
Wanaweza kupatia kwa 55-80% na input yao ni facts.
Watu wa aina hiyo siyo wachawi au nini bali wanaitwa analyst.
Kuna Analyst wa aina mbili; wenye vipawa vya kuzaliwa na waliosomea.
formula yao ni ku - connect dots then wanapata picha nzima. Ukiongea na mtu wa aina hii au akisoma ulichoandika, mwandiko wako haraka sana anapata picha ya wewe ni mtu wa namna gani. Wale waliosomea utumia trend na analytical tools kufikia conclusion.
wenye talanta ya kuzaliwa Wapo wachahche sana Duniani na ukiwa naye mkumbatie usimwache aende, atakusaidia.
 
hiyo hali ipo ya kuzaliwa nayo na ipo ya kusomea.
Ila ya kuzaliwa nayo ukijua kuitumia vizuri ndo Kali zaidi kwa sababu haihitaji ushahidi mwingi. ni maneno mawili tuu mi najua nmesha kujua ila hiyo hali ya kusomea laazima vijimaswali viwepo na ni rahisi mtu kujua kuwa unataka kujua kitu kuhusu yeye au mtu mwingine
Kumbe kuna watu wamezaliwa na uwezo huo !
Nataka kujua wanasoma mawazo direct au wanasoma zile signal mtu anazotoa bila yeye kutambua
 
Hello Twin, iko hivi, kwenye hili suala la kusoma mawazo kuna ukweli mmoja unaosema hivi, binadamu wote huwa tunaongea lugha mbili kwa wakati mmoja, kwanza huwa tunaongea kwa kutumia maneno na mwisho huwa tunaongea kwa kutumia mwili na hisia.

Fikiria kwa mtindo huu, issue huwa iko hivi ,maneno yetu huwa yanapangwa na eneo la mbele la ubongo linaloongozwa na nia na maamuzi, na ndio maana ni rahisi sana mtu kuamua kuigiza na kusema anachotaka ili kukufurahisha. Hata hivyo, uhalisia wa hisia za mtu iwe ni wivu au hofu huwa unasimamiwa na limbic system, ambayo ni sehemu ya ndani kabisa ya hisia zetu na uzuri au ubaya wa hiyo sehemu huwa haina uwezo wa kudanganya. Ule ukweli unaokuwepo moyoni mwa mtu huwa unalazimika kujitokeza nje kwa namna fulani ambayo muigizaji mwenyewe hawezi kuzuia kabisa.

Hata mtu awe mwigizaji mzuri vipi, hawezi kuidhibiti limbic system yake isitume signals nje, kuna namna uso, tone ya sauti na miondoko ya macho huwa inakuwa tofauti sana na kile anachosema mtu, yani lugha ya mwili inakuwa inapingana na maneno.

Ili kuelewa hili, ukifuatilia utagundua binadamu huwa tunatumia maneno kuelezea asilimia 7 -10 tu ya kile tunachowaza au kuhisi na asilimia inayobaki huwa inatoka kwenye mwili yani tone ya sauti na ishara zingine.

Kinachotokea kwenye hii situation mtu kuonekana kama ana uwezo wa kusoma mawazo ya mtu mwingine ni ile intuition kubwa unayokuwa nayo, yani ule uwezo wa ubongo wako kunusa nishati na tabia zisizoendana.

Kinachowatokea wengine ni ile experience wanayokuwa nayo, mtu anakuwa na kumbukumbu nyingi sana labda za jinsi watu wadanganyifu au wenye wivu wanavyo-behave, kwa hiyo akiona mtu anafanya hivyo sasa hivi, ubongo wake unampa taarifa haraka sana kulingana na uzoefu wake wa huko nyuma.

Kuna wengine waliojaliwa kuwa na observation skills za kipekee, changamoto pekee ya kuwa na huu uwezo ni kwamba it can be very exhausting! Yaani inachosha sana maana huwezi kufurahia mazungumzo ya kawaida ya kijamii bila kuona unafiki na uchafu uliopo nyuma ya tabasamu feki la mtu, unakuwa unajikuta unajua siri za watu wengi kabla hata hawajafungua midomo yao kuzungumza, so mimi naunga mkono hoja yako mia kwa mia, wewe una high observation power na unaweza kujiita mtambuzi au genius wa tabia za watu bila wasiwasi wowote.
Thank you twin umeeleza vizuri sana 🙏
Happy weekend twin 🥂

NB : nimesoma mawazo yako wakati unaandika ulikua unawaza nini 🤪
 
Mkuu inawezekana ila siyo kwa 100%.
Wanaweza kupatia kwa 55-80% na input yao ni facts.
Watu wa aina hiyo siyo wachawi au nini bali wanaitwa analyst.
Kuna Analyst wa aina mbili; wenye vipawa vya kuzaliwa na waliosomea.
formula yao ni ku - connect dots then wanapata picha nzima. Ukiongea na mtu wa aina hii au akisoma ulichoandika, mwandiko wako haraka sana anapata picha ya wewe ni mtu wa namna gani. Wale waliosomea utumia trend na analytical tools kufikia conclusion.
wenye talanta ya kuzaliwa Wapo wachahche sana Duniani na ukiwa naye mkumbatie usimwache aende, atakusaidia.
Shukran mkuu naunga mkono hoja yako asante kwa maoni karibu tena🙏🙏
 
Thank you twin umeeleza vizuri sana 🙏
Happy weekend twin 🥂

NB : nimesoma mawazo yako wakati unaandika ulikua unawaza nini 🤪
Hahaha! Hii speed ya akili yako kuwa sharp sana inataka kuvuka viwango Twin, sikutegemea kama utanidaka mapema hivi! 😭

Happy weekend na kwako pia baby.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom