Mawazo ya matajiri Vs mawazo ya masikini

Mawazo ya matajiri Vs mawazo ya masikini

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
546
Reaction score
1,082
Duniani kuna mitazamo Ya Mtu Mmoja mmoja,Na Kuna Mawazo Jumuishi ya Kikundi Fulani cha Watu au Tabaka Fulani la Watu.

Haya ni Mawazo ya Maskini Vs Mawazo ya Matajiri

MASKINI

1.Matajiri Ni Mafisadi
2.Matajiri Ni Waenda kwa Waganga
3.Matajiri Ni Freemason
4.Matajiri Wameachiwa Urithi
5.Matajiri Walidhulumu mali za Watu.

MATAJIRI

1.Maskini Ni Wavivu
2.Maskini Wanalalamika Sana
3.Maskini Wameridhika
4.Maskini Wanapuuza Fursa
5.Maskini Wanasubiri Kusaidiwa
6.Maskini Ni Wajinga.

Mtizamo Hii ya Matabaka Haya mawili ni ya kila Kundi Kuhalalisha lilipo.
 
Upo kundi gani hapa
 
Ushahidi wenye ukakasi kupitia stor za matajir wa kibongo 1.super feo anasema alianza na mtaji wa 20k leo ndio king wa usafir uko kusini, 2.shababy akiwa chini ya miaka 20 tayar alijinunulia busi leo ana mimolena na mabasi mengi.3.SSB alianza na kuuza maji na pipi leo ndio mlipa kodi bora. 4.uku kitaa kuna bro alianza kuendesha bodaboda 2011 tena haikua yake ila sasa tayar anamiliki fuso 4,toyota coster 7 na ukimuliza anakwambia anaheshimu kidogo na kukitunza adi kawa tajir
 
Ndio anakuaje...?
Maskini Mwenye mtizamo chanya Ni mtu anaekubali uhalisia Kuwa Hana Uchumi Mkubwa kwa Wakati husika Na ana chagua kupambana kutafuta Namna ya kusogeza hatua zake za kiuchumi kuliko kuridhika na alipo.
 
Ushahidi wenye ukakasi kupitia stor za matajir wa kibongo 1.super feo anasema alianza na mtaji wa 20k leo ndio king wa usafir uko kusini, 2.shababy akiwa chini ya miaka 20 tayar alijinunulia busi leo ana mimolena na mabasi mengi.3.SSB alianza na kuuza maji na pipi leo ndio mlipa kodi bora. 4.uku kitaa kuna bro alianza kuendesha bodaboda 2011 tena haikua yake ila sasa tayar anamiliki fuso 4,toyota coster 7 na ukimuliza anakwambia anaheshimu kidogo na kukitunza adi kawa tajir
😂😂😂 Mkuu Ngoja na Mimi Nianze Na Mtaji Wa 20,000 Ntaleta Mrejesho.
 
Back
Top Bottom