Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Na hapo ndipo utata ulipo rafiki yangu. Masuala ya imani hayathibitishiki?

Alisoma ya baadhi ya watu na wakadai ni kweli.
Nataka uniambie wewe hakuwezi kukusoma ?

Kuna jirani yangu alisema kuna mtu anatabiri na amemtabiria mambo mengi na ya kweli

Mimi nikabisha akasema S kama unabisha twende sisi hao tukafika

Ajabu yule mtu aliwatabiria wengi pale lakini mimi aliniangalia na hakusema lolote nikajiuliza why?
 
Sijapata kaka mwingine
Ila nina mupenziii tu shemeji yako😁
Mdogo wetu , usiwe unasema nakunywesha chai wakati Mimi nakunywesha milkshake šŸ˜‹
Screenshot_20260919-225651_Chrome.jpg

Ukiachana na kitabu cha Know Your Enemies and Watch your friend. Book jingine hilo hapo operesheni zote za kichawi kazidadavua 🤣🤣🤣
 
Hali ya kuweza kujua mawazo ya mtu mwingine na kujua anafikiria nini inaitwa telepathy. Kijamii kuna watu (kama wewe mtoa post) wanaamini hilo jambo lipo na limawezekana, lakini mpaka sasa HAKUNA scientific proof ya uwepo wa telepathy!

Yaani kama vile Wabongo na makini wengi wanvyoamini uwepo wa uchawi!!
Swali langu lilikua je ni kusoma akili ya mtu au kuhisi anachowaza kupitia ishara anazo zionesha
 
Bora usikutane na mimi yaani unaongea maneno machache tuu nyaraka zako zote hadi tabia zako za utotoni nakupa ila mpaka nikuone šŸ¤—šŸ¤—šŸ¤—šŸ¤—šŸ¤—šŸ¤—
 
Kuna Nabii mmoja , aliniambia jina langu bila kumtajia, Mkoa na Wilaya niliyozaliwa mpaka tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa. Wewe Nabii huko uliko ulaaniwe šŸ˜†šŸ˜†šŸ˜†

Na hamna liloendelea šŸ˜
Una visa na mikasa wewe šŸ˜€
 
Nataka uniambie wewe hakuwezi kukusoma ?

Kuna jirani yangu alisema kuna mtu anatabiri na amemtabiria mambo mengi na ya kweli

Mimi nikabisha akasema S kama unabisha twende sisi hao tukafika

Ajabu yule mtu aliwatabiria wengi pale lakini mimi aliniangalia na hakusema lolote nikajiuliza why?
Mimi wala sikumfuata. Hakuwahi kunisoma. Na siamini kwenye hayo mambo.

Kutabiri ni mada nyingine ndefu tutatoka nje ya uzi.

Inaonekana unapitia kwenye mvutano mkubwa wa kiimani. Usichoke kutafuta majibu.
 
Nimebarikiwa sana ila sio kwa ubaya kama vijana wa ccm wanaoweza kutumia mwezi mmoja kumfuatilia yule dogo wa chunya chaula ili wamuue na wakamuua kweli mi siko hukošŸ¤—šŸ¤—šŸ¤—šŸ¤—
 
Mimi wala sikumfuata. Hakuwahi kunisoma. Na siamini kwenye hayo mambo.

Kutabiri ni mada nyingine ndefu tutatoka nje ya uzi.
Nimeongea kulingana na ulicho comment watu kanisani wanafanyiwa utabiri mchungaji akishasoma mawazo yako ndio anakutabiria sasa
Inaonekana unapitia kwenye mvutano mkubwa wa kiimani. Usichoke kutafuta majibu.

Hapa ndio umegeuka mtabiri au umesoma mawazo yangu šŸ˜†šŸ˜†
 
Tena kwenye kuropoka na kutania ndio kuna uhalisia haswa wa mawazo ya mtu. Zingatia sana wanachokutania.
Shukran sana naichukua hii
Vipi lakini wewe hujawahi kuongea kitu I mean kuropoka bila kua na dhamira ya kweli na ulichoropoka?
 
Umayapitia makubwa ngoja nikupe kiti ukae aiseešŸ˜€
Na bado nipo kwenye mchakamchaka dadadekiii. Muhimu tafuta hicho kitabu Know your enemies and watch your friends, kina majibu kuhusu hii mada yako, hakizidi sh 10,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom