KAMA WEWE MARA MWANAKIJIJI,MWAFRIKA WA KIKE, UKIZIDIWA UNAKUWA MADELA WA MADILU NA PEMBENI KUNA KOBA.
HALAFU MWANACHAMA MWANDAMIZI MWENZAKO ANAINGIA NA ASHA ABDALLAH. AJABU MWALIMU MZIMA ANADANGANYA KWENYE JF.
Chinga akutukanaye hakuchagulii tusi hata siku moja.
Nasikitika kwa sna jinsi upeo wako ulivyo jibanabana na wembamba wa hewa kiasi cha kushindwa kutofautisha Natural Signature za waandishi mabali mbali hapa JF.
Kuunganisha mawazo ya watu wanne tofauti na kusum up kuwa mwanakijiji ni dalili ya kupungukiwa na hoja pia kujawa na hofu ya mapambano wakati mapambano yenyewe hajaanza.
Mimi MADELA WA- MADILU ni mtu Tofauti kabisa dhidi ya wote watatu uliowataja.
Hoja zote zenye anuani ya Madela ni mali ya Madela na kamwe hazina uhusiano na watu wote uwadhanio.
Mawazo yangu kama Madela hayatokani na woga, ukali wa hoja za watua walio kinyume changu, wala hayatokani na nia ya kutaka kuleta mlolongo wa ubishi katika jamvi hili la JF kama ulivyo anza kubuni.
Mawazo yangu ni matokeo ya kukerwa na siasa za ubabaishaji za chama cha SISIEMU zilizo anza kunikera miaka kibao tangu nikiwa A Level.
Nimekuja hapa uwanjani kwa jina la MADELA WA- MADILU jina la uficho,sina haja ya kujificha kwa mara ya pili ya tatu na ya nne ili kuifanya hoja yangu ieleweke vyema.
Hoja zangu siku zote ziko wazi kabisa na mwelekeo wangu uko wazi.
Nishindwacho kuelewa kutoka katika hoja yako ya kuunganisha personality za watu ni kitu kimoja;
hoja yako kwamba mimi wakati fulani hujificha katika majina mengine matatu tofauti umeitafiti, umeibuni au mbashiri(mpiga lamuli) wako kakwambia hivyo?
Ningefurahi sana kusikia utetezi wako.
Kuna njia za kisasa kabisa za kumtambua mtu nyuma ya hoja kimaandishi na kivibwagizo.
Lakini wewe Chinga umeamua kuacha kila kitu na kushikiria maamuzi ya mbashiri wako kwa sababu unazozijua wewe.
Siwezi kukukatalia kuendelea kunihusisha na watu wengine watatu ambao kila mmoja ni mtu binafsi.
Nina uhakika kwa 100% kwamba watu hao pia wanashangaa jinsi wembamba wa upeo wako unavyozidi kukonda na kuuzidi wembamba wa hewa.
Alamsiki