KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 93
Nilichosema "earlier" bado kipo kiangalie nimesema nini. Sisemi maneno kwa kukurupuka kama mtu anayedai mbowa amebaka vitoto na ana kesi mahakamani halafu anashindwa kutaja hata mahakama yenyewe! Kila neno ninalotumia nalipima na kulipanga sisemi kwa kubahatisha.
Kama unakandia JF na kuiona kuwa ni ya Chadema, kwanini unashinda hapa? Hakuna mtu anafungwa kamba na kuburutwa! Hapa ni mahali huru na chadema haihusiki hata chembe; lakini hilo hamlitaki na badala yake mnapaona pabaya patamu!, kutema hamtaki kutema, kumeza hammezi, mmebakia kumumunya!
ndio kwanza unaibua maswali mengi, unakanusha wewe ni spokesperson wa chadema ?? hauna uhusiano wowote na chadema kujua kwamba haipo affiliated na jamboforums ? mbona wengine hawajakanusha ila wewe umekuwa mstari wa mbele kutetea hicho unachosema ?
kama husemi kwa kubahatisha then, tunaomba ufafanue ulichosema kwamba jamboforums si ya chadema !
kumbuka kwamba earlier members alikuwepo fisadi mbowe kuja kuipiga jeki jamboforums !