Je, Kinachomponza Mbowe ni Anasa?

Je, Kinachomponza Mbowe ni Anasa?

Status
Not open for further replies.
Kuishi maisha ya anasa hayo ni uamuzi wake as long as ni pesa yake. Remember you only leave once bwana, kwani wewe hupendi maisha mazuri? Kama ni deni mwambie alipe lakini kusema anaishi maisha ya anasa thats wivu. after all unaweza kukuta wewe maskini mwenzangu ndo unayaona ya anasa lakini yeye na wenzie wenye uwezo huo hapo bado kabisa.

holy isht ! sipati picha akiingia ikulu itakuwaje !
 
Hivi hawa watu wanaomkomalia mbowe mbona mi siwaelewi? jamaa kakopa na iko kwenye maandishi na wala hajakana, tatizo liko wapi? au mnataka wahindi tu ndo wawe wanakopa kwenye financial inst zetu? mbona hawasemwi? Baldala ya kuwakomalia mafisadi walioiba EPA na Richmond and many others, tunakomaa na mbowe ambaye kakopa na hajaiba. Hii ni kujaribu kuzima ishu za BOT na Richmond, na tunawaambia halali mtu hapa hadi kieleweke. We are watching you closely

NILIFIKIRI MWOSHA HUOSHWA !!
 
Guys can we stick on issues? Kama kuna mwenye hoja dhidi ya Mhe. Mbowe ama yeyote tafadhali aziwakilishe kwa namna ambayo inaweza kumshawishi mhusika kuona umuhimu wa kujibu. Let's be serious... Otherwise mijadala mingine italazimika kuhamishiwa kwenye udaku ikiendelea kujadilika kidaku.

Think of it pls!

Sidhani kama wana hoja katika hili na sana watakachofanya ni kulog out na kulog in na nick names nyingine ili kuendeleza udaku!
 
Kitendo cha yeye kuishi maisha ya kifahari wakati Watanzania wengi wanakosa hata pesa ya kununua dozi moja ya malaria kinaashiria kwamba hana tofauti na CCM/Mafisadi. Yaani kwa maneno mengine hajaiba pesa za umma kwa sababu hajapata nafasi hiyo. Akiipata ataiba tu, kwani anaonekana ni mtu mwenye kupenda maisha ya kifahari.

EXACTLY ULICHOSEMA MZEE !Halafu mwafrika wa kike anapiga kelele anakwambia na statistics zake feki kwamba watoto sijui idadi fulani wanakufa kila dakika buzwagi !! give me a damn break chadema fanatics !
 
Kada,

weka unazi wa chama pembeni kidogo...

Swali moja tu la msingi..

Mbowe kaiba pesa ya nani hapa?
 
Mimi nadahani hapa suala si kwamba eti mtu yeyote ambaye hayuko madarakani kwa sasa basi yeye hana "elements" za ufisadi, la hasha! Ufisadi (greed) ni tabia binafsi ya mtu na inaweza kuonekana hata kama hajaiba mali ya umma.

Viongozi wa vyama vya upinzani tunaweza kuhoji tabia zao kutokana na maisha wanayoishi sasa na kugundua yupi mwenye sifa za ufisadi. Ukiona mtu anapenda sana kujilimbikizia mali basi huyo siku akipata nafasi serikalini ataiba pesa ya umma mpaka mtakoma. Tena anaweza hata kubadili katiba ya nchi ili atawale milele. Take my words!

Hayo maneno ya rangi nyekundu nimeyakubali na ni deep thoughts !

Maneno rangi ya bluu - watu hapa nadhani "ufisadi" kwao ni kuiba pesa serikalini, la hasha ! ukiwaambia ufisadi comes in different elements wanakataa, HATA HAPA JAMBOFORUMS MAFISADI WAPO NA WANAJIJUA.. NDIO MAANA WAKATFUTA NA KUIHAMISHISHA ILE THREAD YA MAFISADI JAMBOFORUMS MWISHOWE WAKAIFUNGA !!

we are learly watching people !!!!!!!!!!!!!1
 
MKUU NILIWEKA THREAD YANGU JANA YA BWANA MKUBWA KUFUKUZWA CHUO (AMEDISCO) LAKINI UMEBADILI KICHWA CHA HABARI NA KUIPELEKA KWENYE MASWALI WAKATI SI SWALI.

MIMI SIJAKULEWA KAMA UNA UWEZO WA KUWA MHARIRI WA HEAADINGS.
NAOMBA IRUDISHE KWEWNYE SIASA . MAMBO KAMA HAYO NDIO YANATUTOA KWENYE LUGHA UNAZOZITAKA.

vilio vimeanza kama kawaida!

Mtakua lini? ushauri wa bure, hii strategy imeshafail on arrival!Jaribu kingine!
 
Sidhani kama wana hoja katika hili na sana watakachofanya ni kulog out na kulog in na nick names nyingine ili kuendeleza udaku!

KAMA WEWE MARA MWANAKIJIJI,MWAFRIKA WA KIKE, UKIZIDIWA UNAKUWA MADELA WA MADILU NA PEMBENI KUNA KOBA.

HALAFU MWANACHAMA MWANDAMIZI MWENZAKO ANAINGIA NA ASHA ABDALLAH. AJABU MWALIMU MZIMA ANADANGANYA KWENYE JF.
 
Unahitaji mental evaluation...

Hii sio bure! Kama sisiem hawa ndio inawatumia kwa sasa basi Nchi inakwenda kuzimu hiyo!
 
Mbaya zaidi hii habari haikuandikwa freemedia hahahaaaaaa. GAZETI LA CHADEMA !

Mbowe aifilisi NSSF
::Adaiwa milioni 1200, hataki kulipa
::Atumia sheria kukwepa asifungwe
::Adai iliyokopa ni kampuni si yeye

na mwandishi wetu

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anakalia kiasi kikubwa cha fedha za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa kukataa kulipa deni alilokopa.

Mbowe anadaiwa wastani wa sh milioni 1200 (sh bilioni 1.2), kutokana na deni alilochukua mwaka 1990 kwa nia ya kufanya upanuzi wa Mbowe Hotel ya jijini Dar es Salaam, maarufu kama Bilcanas.

Kwa kutumia mamilioni aliyokopa kutoka NSSF Machi 10, mwaka 1990, Mbowe aliweza kupanua Mbowe Hotel kwa kujenga mgahawa wa Hard Rock, kumbi za Bilcanas, Much More na Sugar Mama, ambazo amekuwa azitumia kwa ajili ya biashara tangu wakati huo.

Kumbukumbu zilizopo zinaonyesha kuwa deni la mkopo huo aliouchukua kwa kutiliana saini kati yake na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NPF), ambalo baadaye lilibadilishwa jina na kuwa NSSF, sasa limekua na kufikia zaidi ya sh milioni 1200. Deni hili linatokana na mkopo aliouchukua na riba inayotokana na deni hilo.

Wakati wa kuchukua mkopo huo NPF (wakati huo) iliwakilishwa na Mustafa Mkulo, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, huku Mbowe Hotel ikiwakilishwa Mbowe mwenyewe aliyetia saini. Pande zote mbili zilikuwa na mwakilishi mmoja. Mkulo kwa sasa ndiye Waziri wa Fedha.

Kwa mujibu wa mkataba wa mkopo kati ya Mbowe na NSSF, ambayo ilichukua majukumu ya NPF, Mbowe Hotel ilikopeshwa sh milioni 15, mwaka 1990. Ibara ya 5, ya Mkataba wa Mkopo kati ya Mbowe Hotel na NSSF yenye vifungu 5.01, 5.02 na 5.03, iliweka bayana kuwa riba ya mkopo huo ilikuwa asilimia 31, na kwamba kila mwaka iwapo riba isingelipwa kwa wakati nayo ingetozwa riba ya asilimia 31.

Kifungu cha 6.01 na 6.02 cha mkataba wa mkopo huo kati ya Mbowe na NSSF vinaeleza kuwa Mbowe Hotel ilitakiwa kulipa deni hilo kwa mikupuo sawa mitano katika kipindi cha miaka sita. Mwaka wa kwanza wa mkopo Mbowe Hotel haikutakiwa kulipa kitu kwa nia ya kuipa fursa ya kujiimarisha katika biashara kwa mwaka wa kwanza.

Malipo hayo yalipaswa kufanyika kila ifikapo Desemba 31, kuanzia mwaka 1991, ambapo kila mwezi alistahili kulipa sh 3,000,000 kama deni la msingi na riba ya asilimia 31 kama ilivyokubaliwa kwenye mkataba.

Wakurugenzi wa Mbowe Hotel, Manase A. Mbowe, Freeman Aikaeli Mbowe na Dk. Lilian Mtei Mbowe, kwa sababu wanazozijua wao waliamua kuacha kulipa deni hilo bila mawasiliano ya aina yoyote na NSSF wala juhudi za wazi za kuonyesha nia ya kulipa hadi mwaka 1993, walipoamua kulipa sh 3,000,000 kati ya deni lote.

Kwa mujibu wa mkataba wa mkopo, hadi mwaka 1993, wakurugenzi hao walistahili kuwa wamelipa wastani wa sh milioni 9,000,000 katika deni la msingi, lakini walikaa kimya hali iliyolitia wasiwasi shirika la NSSF.

Baada ya kutoa malipo ya sh 3,000,000, wakurugenzi hao walikaa kimya na ilipofika Septemba 1996, NSSF iliamua kufungua kesi Mahakama Kuu. Kesi hiyo ya madai No. 277 ya mwaka 1996, ilikuwa ikidai Mkopaji alipe deni la msingi sh milioni 12 zilizokuwa zimesalia pamoja na riba.

Hatua hii iliwafanya wakurugenzi wa Mbowe Hotel kuomba suala hilo walimalize nje ya Mahakama. Hata hivyo, hawakuendelea kulipa hadi mwaka 1998, walipopewa tishio la kufungwa jela ndipo waliamua kulipa kwa mkupuo sh milioni 12.

Hadi wanatoa malipo hayo, deni lilikwishakuwa na kufikia wastani wa sh milioni 145.38, na kimsingi makubaliano ilikuwa ni kwamba deni hilo lingelipwa katika muda wa miezi 24 tangua tarehe ya makubaliano.

Hata hivyo, Mbowe na wakurugenzi wenzake waliamua kutoendelea kulipa deni hilo badala yake wakaamua nao kuchukua mkondo wa kisheria kwa kutumia wahasibu kukokotoa tena hesabu za riba, bila mawasilianao na NSSF, na kisha wakachagua kiasi wanachotaka kulipa wao.
Mbowe Hotel ikitumia kampuni ya uwakili ya Nyange, Ringia & Co., walifanya kazi ya kuwasiliana na wahasibu mbalimbali kisha kuwasiliana moja kwa moja na wakili wa NSSF, Ademba Gomba, kutaka deni la riba lipunguzwe.

Mgogoro na mvutano kati ya Mbowe Hotel uliendelea, huku riba ya deni nayo ikizidi kuongezeka na ilipofika Oktoba 11, 2002 Meneja wa Fedha wa Bilcanas Group Inc, Godbless Naftal, kupitia barua yake yenye Kumb. No. BGI/NSSF/MHL02/02/01, alikokotoa hesabu na kutaka wakurugenzi wa Mbowe Hotel walipe wastani wa sh 31,959,369.86, kwa maelezo kuwa kanuni iliyotumiwa kukokotoa riba ilikosewa.

Januari 16, 2003 NSSF kupitia kwa Mussa S. A. kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, alimjibu Naftal kwa barua yenye Kumb. No. NSSF/LA/F.131/10/89/135, akimweleza kuwa NSSF imekataa mapendekezo yake (Naftal) na hivyo wanapaswa kulipa deni lote kwa mujibu wa hukumu ya za Mahakama Kuu za mwaka 1999 na 2001.

NSSF na Mbowe Hotel waliendelea kupigana ngwala mahakamani na kwenye bodi za usuluhishi hadi ilipofika Oktoba, 2006 ambapo Jaji Manento alihukumu wakurugenzi wa Mbowe Hotel watiwe mbaroni na kufungwa jela kwa kushindwa kutekeleza amri ya mahakama ya kulipa deni lao.

Wakili wa Mbowe Hotel, Herbert Nyange, aliwasilisha katika Mahakama ya Rufaa hati ya kiapo ambayo muhuri wake umegonjwa Oktoba 30, 2006 akipinga wakurugenzi wa Mbowe Hotel kukamatwa kwa maelezo kuwa Mahakama Kuu ilikwenda nje ya mipaka kisheria kwa kutaka wakurugenzi wakamatwe.

“Uamuzi wa amri ya kukamatwa kwa walalamikaji (wakurugenzi wa Mbowe Hotel) ulifikiwa kwa misingi ya wazi ya uvunjaji wa kanuni juu ya wajibu wa wakurugenzi dhidi ya deni au uamuzi dhidi ya shirika, hivyo ni kinyume na sheria,” alisema Nyange katika barua hiyo ya kupingwa kukamatwa kwa akina Mbowe.

Hata hivyo, kutokana na Mbowe kuona mambo yanaendelea kuchacha, Desemba 14, mwaka 2006, mmoja wa wakurugenzi wa Mbowe Hotel, Dk. Lilian Mtei Mbowe, aliamua kutoa malipo ya wastani wa sh milioni 50 kwa NSSF kwa hundi mba 298492, iliyoambatana na barua yenye Kumb. No. BGI/NSSF/MHL06/01, huku akitaka warejee kwenye meza ya majadiliano badala ya kufungwa jela.

Barua hiyo pia iliomba NSSF irejee barua ya Kampuni ya Ushauri wa Fedha ya Morgan cKlien Associates iliyoteuliwa na Mbowe mwaka 2004 kushiriki majadiliano na usuluhishi juu ya jinsi ya kulipa deni hilo.

Kampuni hiyo iliyokuwa chini ya Afisa Mtendaji Mkuu, Hubert Mengi, ilitoa maelezo mengi yenye kuonyesha kwa nini Mbowe Hotel ilishindwa kulipa deni lake kwa wakati. Anasema katiak moja ya vielelezo kuwa fedha zilipotolewa na NSSF mwaka 1990, nchini Tanzania hakukuwapo vifaa vya ujenzi.Mengi anaeleza kuwa Mbowe Hotel walilazimika kuagiza vifaa vya ujenzi kutoka nje ya nchi, na lilijitokeza tatizo lingine kwamba benki nchini hazikuwa na fedha za kigeni, hivyo Mbowe Hotel ililazimika kusubiri kwa muda mrefu kupatiwa fedha hizo za kigeni.

Kwa maelezo hayo, anasema Mbowe Hotel walichelewa kupata vifaa na mradi ukashindwa kukamilika kwa wakati hali iliyosababisha wakurugenzi wake washindwe kulipa deni hilo kwani walikuwa hawafanyi biashara.

Baada ya mivutano yote hiyo, Mbowe Hotel wamealikwa kwenye NSSF kujadili jinsi ya kulipa deni hilo linaloendelea kukua lakini hadi jana vyanzo vyetu kutoka NSSF vilionyesha kuwa wakurugenzi wa Mbowe Hotel wameamua kukaa kimya.

Kutokana na hali hiyo, ni wazi NSSF inaendelea kupoteza mapato yake yanayokaliwa na wakopaji wa aina hiyo, ambapo mwenendo usipodhibitiwa shirika linaweza kufilisika sawa na ilivyotokea kwa mashirika mengi nchini.

© Habari Corporation Ltd
All rights reserved

YAANI HAPO NI FULL DETAILS, NAMBA ZA KUMBUKUMBU KILA KITU KIPO, SASA MWANAKIJIJI NA MWENZAKO MWAFRIKA WA KIKE NJOENI MUMTETEE YOUR FELLOW SOLDIER !(hivi mnaitana green soldier ama red soldier vile )
 
Sasa tujiandae, vita ya wakubwa kwa wakubwa ndio imeanza. Ingawa imeanzia pembeni kwa Mbowe lakini inakuja polepole, wanaolengwa watafikiwa tu.

hii sio kitu mkuu, kuna yale yaliyojiri uchaguzi mkuu ambapo .................. hadi akachaguliwa yule mgombea ana nani sijui.... well, that will be a HARD TARGET !! Sitaki kusema sana lakini mengi yanakuja. Mwosha huoshwa !
 
Kada hii habari tayari ipo hapa..

Soma msisitizo kwenye neno anadaiwa.... (kakopa) sio kuiba kama Kikwete na wenzake huko sisiemu.

Una lingine?
 
hii sio kitu mkuu, kuna yale yaliyojiri uchaguzi mkuu ambapo .................. hadi akachaguliwa yule mgombea ana nani sijui.... well, that will be a HARD TARGET !! Sitaki kusema sana lakini mengi yanakuja. Mwosha huoshwa !

udaku hadi unashindwa kusema...

una lingine la kusema hapa?
 
Tatizo lako wewe kila anayempinga Mbowe basi anaongea pumba. Ila anayekosoa serikali basi huyo anaongea pointi. Mimi sio mwanasiasa na wala si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Nachangia kama Mtanzania.

Kwa bahati mbaya sana kuna watu humu wanaongea kwa ushabiki wa kisiasa zaidi kuliko uhalisia wa mambo yenyewe. Kwa kifupi hakuna kiongozi yeyote wa upinzani ninayemwamini mpaka sasa kwamba anatufaa! Hawana tofauti yoyote na walioko madarakani
.

FAIR GAME ! YOTE ULIYOSEMA NI SAHIHI !

wao kila siku wanataka kusikia maovu ya wengine sasa leo............... !!
 
Du kaazi yaani kweli kweli!

Dawa ya deni ni kulipa tu!

walipenda sana kuuliza pesa za EPA kurudishwa, sasa tuone JE ATAWEZA NA YEYE ?? Chadema fanatics pitisheni michango hapa mumsaidie mbowe kulipa deni ! opps, mabilioni ?? no we cant afford !
 
Unahitaji mental evaluation...

Hii sio bure! Kama sisiem hawa ndio inawatumia kwa sasa basi Nchi inakwenda kuzimu hiyo!

Siwezi kusema mengi wenzetu mko home ground( JF) SIE tumeshapewa onyo na baba mwenye nyumba.ama kweli refa ana wabeba sana na bado tunawagalagaza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom