Biashara yoyote kubwa ili iendelee inaitaji mkopo, kuna aina nyingi za mikopo. Short term debt and long term debt, sasa Mbowe alikopa kwa muda gani na kwa biashara gani? Hilo ni million dollar question. Kama alikopa kwa more than 10 years ili kufinance club yake that is fine, tatizo linakuja jee alikuwa anafanya month payments?
Na kama alikuwa hafanyi payments jee ni nani alikuwa anadefend collateral alizoweka zisiuzwe? Sababu kama unapiga kelele kwenye majukwaa kwamba CCM ni wezi, na wewe unatumia same strategy za CCM katika njia nyingine, then unakila haki ya kufananishwa na Gavana wa NY.
Nilishawai kusema natofautiana sana na Mboe sababu anaonyesha ni mbabaishaji. Mikopo yote ina rules and regulation, na dawa ya kukopa ni kulipa. Rejea maneno ya Mwalim " You borrow, you pay". Hakuna sijui nilikuwa sijui hili wala lile.
Ni mategemeo yangu wana CHADEMA wataomba explaination kutoka kwa kiongozi wao, jee haoni kama huko ni kufuja mali za umma? Jee yeye anajenga picha gani kama kiongozi? Jee ni kwa asilimia ngapi kuchelewa kwake kwa loan kuna adhiri viinua mgongo vya watu?
Sababu kumbuka kwamba pesa zile zinatumika kulipa pansion za baba na mama walio staff, sasa kama kuna mtu kwa njia moja au nyingine hataki kulipa kutokana na political power yake, then what is the different na mafisadi?
Mtanganyika,
The first paragraph umeanza vizuri.....you were thinking objectively. Ila baadae umeamua bias uliyonayo against mbowe ichukue mkondo. Anyway, as long as unafurahisha nafsi yako si mbaya kwako.
Ila elewa biashara yoyote, ni kama uchezaji karata, you play your cards well you win otherwise you loose. And mind you, it is your cards, not all the cards in the box. And how do you get your cards?? You just pick them randomly, hujui unaokota nini....
In business terms, you may have good plans, but there are uncertainties in the future which you cant plan precisely. Mfano, uchumi wa Tanzania unaelekea kubaya sana, sasa ivi BOT watakupa GDP kwamba inakuwa (mi naona data wanazipika for their own benefits). Ila ukweli ukiangalia mtaani inflation rate iko juu sana, mfuko wa cement umepanda from Shs 11,000 in July 07 to Shs 20,000 in December 07, ukiachilia mbali vifaa vingine.
Sasa kama ulikopa early 2007 (with your business plan ulioitengeneza using the early 2007 prices as base) do you think utaweza kufanya what you planned to do in the same capacity with the same loan wakati economy imebadilika to that extent???
Mbowe is a businessman, a good one, kama anadaiwa, he knows well what he is going to do to get himself out of the trouble. So mi naona hilo ni kumwachia mwenyewe na benki (taasisi) aliyokopa, they know better how to deal with that.
Ukitaka kuunda tume kuchunguza watu wameshindwa kulipa mikopo (nashangaa ulikuwa unafikiria kwa kutumia nini ulipotoa hilo wazo), basi ndugu yangu kwa mikopo doubtful iliyopo sasaivi mabenki yote, utachunguza mpaka 2050. Au wewe nia yako ni Mbowe tu???
Benki wanajua njia zao za kukusanya mikopo, hata pale a customer anapokuwa na hali ngumu, kuna motisha wanawapa ili waweze kulipa. Ukisema uende mahakamani, the system is so beauracratic, expensive because of legal charges etc and next time you won't be able to get the same customer, coz utakuwa ushammaliza.
Ni hayo tu, kila la kneri.