Je, Kinachomponza Mbowe ni Anasa?

Je, Kinachomponza Mbowe ni Anasa?

Status
Not open for further replies.
Na Huyo Kyara Mwambie Kabla Ya Kuonyesha Sura Yake Ktk Magazeti Angetumia Muda Huo Kufanya Usafi Kwenye Gest Yake Pale Shekilango Ili Mende Wapungue, "dead Man"
MEJA...MEJA...MEJA.......JIBU HOJA....!
 
Si Amejibu Mwenyewe Kuwa Anahongwa Mil 5 Kwa Mwezi,sasa Ushahidi Gani Unataka?lengo La Jf Ni Kuwashushua Mafisadi Na Si Kuwatetea Sasa Huyu Kada Mpinzani Huoni Ni Wazi Kabisa Kuwa Anawatetea Ina Maana Tanzania Ya Leo Kuna Asiyejua Maana Ya Deni Na Wizi? "kiazi Wewe"
 
Kuna Hoja Ipi Ya Kujibu Maana Habari Hii Na Mambo Tunayozungumza Yanatokana Na Habari Ya Mtoa Mada
 
Wewe Unafikiri Wanasiasa Njaa Kama Kyara Na Ccm Matajiri Wezi Wataifanyia Nini Nchi Tanzania, Na Kama Watashirikiana Na Wapotoshaji Wa Mambo Kama Kada Mpinzani.
 
Huyu Kyara Wa Sau Hakuna Asiyejuwa Kuwa Ni Njaa Inamsumbua Sasa Anatafuta Sapoti Ccm Angalau Apate Pesa Ya Kununua Dawa Ya Kupiga Wale Mende Wapungue Ktk Ile Gest Yake Ambayo Mwenyewe Anaiita Legho Hotel Na Pia Aweze Kupata Pesa Ya Kununua Rv Ile Dawa Ya Kupunguza Makali Ya Ukimwi Unaomtesa,

HUU NI UDAKU. HATUTAKI. KWANI KILA ANAYEMPINGA MBOWE ANA NJAA? MIE CHINGA NAJILIA KOROSHO SINA NJAA.BASI NA SLAA ALIKUWA ANA NJAA.
 
Hivi Wewe Kada Mpinzani Ina Maana Hujui Maana Ya Kukopa Na Kuiba? Punguza Njaa Hiyo Itakuuwa

NJAA ANAYO MWANAKIJIJI KAINGIA CHAMA BILA KUJUA TAWI LAO AU OFISI IKO WAPI? KALETEWA KADI YA CHADEMA.

KISA MBOWE AMEFADHILI WEBSITE YAKE KWA DOLA ELFU MBILI HIVI SASA MWANAKIJIJI AU MWAFRIKA WA KIKE ANAINGIA NA MAJINA YA KOBA, BEN NA MADELA WA MADILU KWA AJILI YA KUMTUMIA KAFIRI ILI APATE MRADI WAKE(AJAZE TUMBO LAKE)

MASIKINI HAIJUI HATA KATIBA YA CHADEMA.

NA MTU KAMA ASHA ABDALLAH (MWANASIASA ) NDIO WANAFANYA WATU WAJUE KUWA CHADEMA HAKUNA DEMOKRASIA. NANI ATAMUHOJI MBOWE KWENYE VIKAO IKIWA HAPA JF WANAOGOPA?
 
Si Amejibu Mwenyewe Kuwa Anahongwa Mil 5 Kwa Mwezi,sasa Ushahidi Gani Unataka?lengo La Jf Ni Kuwashushua Mafisadi Na Si Kuwatetea Sasa Huyu Kada Mpinzani Huoni Ni Wazi Kabisa Kuwa Anawatetea Ina Maana Tanzania Ya Leo Kuna Asiyejua Maana Ya Deni Na Wizi? "kiazi Wewe"

MBONA WEWE UNAMTETEA FISADI NA JAMBA WAZI MBOWE?
AU UNATAKA TULETE DEALS ZA MBOWE NA JACK PEMBA? HUJUI KAMA MBOWE ANAFANYA DEAL ZA WIZI WA MAGARI UK?
 
Tena Ukishamaliza Kazi Ya Kuchapa Kila Siku Ktk Computer Ni Lazima Uwaprintie Uwaonyeshe Ili Washuhudie Mapambano Unayoyafanya Na Wana Jf Si Unajua Aslimia 90 Ya Wabunge Wa Ccm Ni Vilaza Hawajui Hata Kufungua Komputer, Kwa Hiyo Wataona Kazi Unayofanya Ni Kubwa Hivyo Wataongeza Dau. Kazana Mwanangu Kufa Kufaana

ANAYEFANYA KAZI ZA KU PRINT NI MWANAKIJIJI NDIO MAANA UTAONA ANAINGIA NA MAJINA MENGI KWANI NI PAY AS YOU GO! ANALIPWA KWA POST.

TIZAMA ANA POST NGAPI KWA JINA LA MWANAKIJIJI,MWAFRIKA WAKIKE , MADELA ,KOBA NA SASA BEN.

SOMA VIZURI POST ZAKE KUNA MAHALA ANASEMA LAZIMA ATUME POST 50 KWA SIKU.

MIE NINA MIAKA MITATU HUMU TIZAMA POST ZANGU ZIKO NGAPI?.
 
Naomba Kusitisha Kubishana Na Wewe Maana Nitaonekana Ni Kichaa Kubishana Na Mtu Aliyepandikizwa Kwa Kuhongwa Vijisenti Na Hao Wanakulaaniwa

ALIYEHONGWA NA MWANAKIJIJI KAPEWA DOLA ELFU MBILI KWA AJILI YA KLH NEWS. NA KUHAKIKISHA KILA JUMATANO ANAANDIKA UJINGA TANZANIA DAIMA.MBOWE ANGEKUWA MSTAARABU ELFU MBILI NDIO AMSUMBUE JAMAA KAMA MTUMWA?
 
Wewe Unafikiri Wanasiasa Njaa Kama Kyara Na Ccm Matajiri Wezi Wataifanyia Nini Nchi Tanzania, Na Kama Watashirikiana Na Wapotoshaji Wa Mambo Kama Kada Mpinzani.

HIVI UNAJUA KUWA MBOWE ANATAFUTWA NA ANAWEZA KUWA DEPORTED ANYTIME AKIINGIA UINGEREZA? AMEPATA VISA YA STUDENT KWA DECEPTION. YEYE ALIOMBA KAMA NI FULL TIME STUDENT LAKINI AKAWA NI PART TIME STUDENT.

HAWA NDIO WALIMPA VISA LEO KAWAGEUKA.

http://www.ukvisas.gov.uk/servlet/F...t/Xcelerate/ShowPage&c=Page&cid=1006977150097
 
HUU NI UDAKU. HATUTAKI. KWANI KILA ANAYEMPINGA MBOWE ANA NJAA? MIE CHINGA NAJILIA KOROSHO SINA NJAA.BASI NA SLAA ALIKUWA ANA NJAA.

namshangaa, nadhani hajui kwamba wanaoambatana na mbowe ndio njaa tupu, lakini niliamua kukaa kimya leo jumapili na nitamjibu vizuri kesho jumatatu !
 
ANAYEFANYA KAZI ZA KU PRINT NI MWANAKIJIJI NDIO MAANA UTAONA ANAINGIA NA MAJINA MENGI KWANI NI PAY AS YOU GO! ANALIPWA KWA POST.

TIZAMA ANA POST NGAPI KWA JINA LA MWANAKIJIJI,MWAFRIKA WAKIKE , MADELA ,KOBA NA SASA BEN.

SOMA VIZURI POST ZAKE KUNA MAHALA ANASEMA LAZIMA ATUME POST 50 KWA SIKU.

MIE NINA MIAKA MITATU HUMU TIZAMA POST ZANGU ZIKO NGAPI?.

hehee, eti pay as you go, hiyo kali !
 
Suala likiwa mahakamani huwezi kulipa. Unajua mahakama zetu. Kesi hii wameipiga danadana kwa miaka 10 na ni NSSF ndio waliukuwa wanaacha kwenda mahakamani. Lakini Mbowe alipochoka na yeye akaacha kwenda mahakamani ndio order ya kumkamata ikatolewa. Ona double standard. Ni kama ile kesi ya Lissu na Mrema kuhusu Bulyankulu; toka 1996 wakienda wao mahakamani kesi inaahirishwa kwa upande wa mashtaka kutokutokea, wakiacha kwenda wao inatolewa order wakamatwe.

Hebu jiulize, ni toka lini kesi ya madai ambao kampuni ndio inadaiwa pakatolewa order kama hiyo ambayo Menento aliitoa bila ya upande wa pili kuitwa mahakamani?

Hebu fuatilieni kabla ya kusema jamani

Asha
Asha what is your point haswa. Let match apple kwa apple and not orange kwa apple. Kesi yoyote inayodeal na promise especial kwenye swala la contract, jaji is requred to enforce contract as long as contract doesn't includes any fraud deal. Kama tungekuwa na Usury Act which prohibit lending at high rate that should be another case.

Lakini at this moment, Mr.Mbowe wasn't even supposed to show up at the court, sababu there is no arguments he can create. The contract bound the promise. Do you need to be profesional in business Law to know that?

Advise yangu ni kwamba Mbowe akae chini na NSSF then anegosiate deal. Lakini kusema sijui mbona kesi ya Mrema haisikilizwi sijui mbona nini doesn't play part in this argument. Let finish this first, and then we will start about Mrema and court system.
 
I dont see how personal attack will help us, jamani tu create arguments na sio kusema nani anatumia log on gani. I think it isridiculous because it is irrelevant to the topic.

Please let us create arguments, and not speculate things without facual data. Our time is short and we have more to cover. Peace!
 
ANAYEFANYA KAZI ZA KU PRINT NI MWANAKIJIJI NDIO MAANA UTAONA ANAINGIA NA MAJINA MENGI KWANI NI PAY AS YOU GO! ANALIPWA KWA POST.

TIZAMA ANA POST NGAPI KWA JINA LA MWANAKIJIJI,MWAFRIKA WAKIKE , MADELA ,KOBA NA SASA BEN.

SOMA VIZURI POST ZAKE KUNA MAHALA ANASEMA LAZIMA ATUME POST 50 KWA SIKU.

MIE NINA MIAKA MITATU HUMU TIZAMA POST ZANGU ZIKO NGAPI?.

Wewe kijana nakusikia,
Mimi natoa mawazo yangu kama Ben ila wewe umeshindwa kutofautisha kwa sababu tu huwezi kufikiria nje ya hapo! Halafu bado eti unaongelea maswali ya elimu ya mbowe ili hali wewe umekaa kupiga ramli.

Unajua hata huko waliko hawa watu Mwanakijiji,Madilu,Mwafrika wa kike nk. watakua wanakuona kituko sana kwa kuishi maisha ya kubahatisha kila kitu.Kumbe ndiyo maana ukaleta mada ya kubahatisha na yenye kichwa tatanishi kuhusu Mbowe.kumbe hili ni tatizo ambalo sasa limekua ni sehemu katika maisha yako.

Yaani kwa mfano wewe na kada, nitaona kwamba ni mtu mmoja with different nicknames kwa sababu mnaajiriwa kwa kazi inayofanana? Au kwa sababu mna vitu vingi in common? Au kwa sababu mnafanya kazi sawa na kwa akili zinazo shabihiana-Kupga ramli.

Au kwa sababu mnacheza mchezo unaofanana -Kidali po!

Au kwa sababu mna tabia sawa-kulia lia

Au kwa vile mnaandamwa na majinamizi sawa-Mkjj,Mwafrika wa kike,Madilu,mwanakijiji

Au kwa vile Mnakazi moja KUA JF na kuharibu Threads

Still ninaamini ninyi ni watu wawili tofauti ila mna akili zinazofanana na kazi Moja,full stop!
 
kaka BEN

Naona Chinga ni mkweli sana na ramli anaijua. unakumbuka alituambia kuwa Mwanasiasa ni Kitila Mkumbo? Bwana Kitila kama mwanasiasa akawa anakanusha sana.

ikaenda na kusemwa kuwa yuko Southmpton University. bwana Mwanasiasa akawa anasema huo ni uzushi.

lakini ikaja siku Mwanasiasa akajieleza kuwa ni KITILA na atatumia jina lake la KITILA MKUMBO.

naona sasa ramli umekukamata wewe.
 
Asha what is your point haswa. Let match apple kwa apple and not orange kwa apple. Kesi yoyote inayodeal na promise especial kwenye swala la contract, jaji is requred to enforce contract as long as contract doesn't includes any fraud deal. Kama tungekuwa na Usury Act which prohibit lending at high rate that should be another case.

Lakini at this moment, Mr.Mbowe wasn't even supposed to show up at the court, sababu there is no arguments he can create. The contract bound the promise. Do you need to be profesional in business Law to know that?

Advise yangu ni kwamba Mbowe akae chini na NSSF then anegosiate deal. Lakini kusema sijui mbona kesi ya Mrema haisikilizwi sijui mbona nini doesn't play part in this argument. Let finish this first, and then we will start about Mrema and court system.

My point is, NSSF ndio mara zote wamekwenda mahakamani kucheleweshwa kulipwa. Kesi ya msingi ilifunguliwa na NSSF sio Mbowe.

Hebu kasome sheria zetu jamani zimeeleza wazi kuhusu kiwango cha riba cha mahakama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom