Je, Kinachomponza Mbowe ni Anasa?

Je, Kinachomponza Mbowe ni Anasa?

Status
Not open for further replies.
Kada, jamani, amesema, VYAMA VICHACHE VIMEPANDIKIZWA NA CCM, hajasema ni vyote. Kwani nani hajui hilo?
Pili, huyu tusimuite FISADI, bado ni MKOPAJI ALIYECHELEWA KULIPA DENI!
Give the man a break! Its like u r going all out to paint a bad pic

Kada:

Hii habari ni ya mwaka gani? Iweje habari ya miaka kadhaa nyuma utuletee leo? Au ni mkakati tu wa kuchafua?

Si ameweka wazi ni vigumu? Kwani amesema haiwezekani?Na hapa alikuwa akivikosoa vyama kama SAU, NLD nk

Hebu acheni udhulufu! Mmeona suala na NSSF hoja yenu umeshindwa kueleweka sasa mnazua vioja. Na kwa kadiri ninavyowajua CHADEMA, kobe akiinama ujue anatunga sheria.

Ngoja wakina Mbowe, Dr. Slaa, Zitto, Lissu na Profesa Baregu watakapomaliza kutunga sheria; you will all be riduculed kwa kuingia mtego wa fisadi Rostam Aziz na Habari Corruption yake. Hebu fuatilieni kidogo ukweli mahakamani kabla ya kusema; mtaonekana wanamdundiko jamani

Asha
 
Kama kuna anayefikiri kuwa jambo hili litawafanya mafisadi waweze kulala usingizi hapo mmekosea sana sana .

Kila wakati kwa mtu mweye akili timamu hawezi kutumia mbinu dhaifu kujaribu kuwanaymazisha watu kudai haki zao za kimsingi.

Mbowe,alikopa 15 milioni ,na kwa mujibu wa sheria zetu huwezi kulipa deni kwa zaidi ya 12 % intertest sasa hao NSSF kama wanatka mkopaji alipe 31%interest wanatumia sheria gani hiyo?

Mbowe alishinda hiyo kesi. ila hao MAFISADI wanajaribu kuitumia hii kama turufu ili waweze kumnyamazisha , kwa taarifa yenu hapa hanyamazi mtu na JK ataendelea kushughulikiwa kisiasa hadi atakapochukua hatua dhidi ya mafisadi wetu.

Kumbukeni kuwa awamu ya kwanza ilikuwa na mafisadi 11 naamini mnajua kuwa hadi sasa ni wanagapi tayari wameanguka , tunaendelea mpaka kieleweke mwaka huu.

IGP juzi kasema yupo tayari kufukuzwa kazi kuliko kulazimishwa kukaa na mafisadi ......thata was a very strong message to JK et al ,...juuu ya kuwahifadhi mafisadi ......
 
Wajumbe naona mmemkomalia sana mtoa hoja. Nadhani kwa kifupi ana maana kwamba wafuasi wa upinzani (ambao naamini wengi ni watu wa tabaka la kati) wangependa kuona mtu wanayeamini kwamba anaweza kuwa kiongozi wa taifa hili hapo mbeleni, anaishi maisha kama yao. Anaishi maisha ya kati kama wao.

Kuna ule usemi wa kwenye nyumba za kuabudu kwamba tusiangalie matendo ya viongozi wetu wa dini bali tufuate misingi ya dini zetu. Lakini kwa waumini, suala hili huwa haliingi akilini. Pale ambapo Padre/Mchungaji/Sheikh anapoonekana anafanya vitendo viovu, basi waumini hupoteza kabisa imani na kiongozi yule, na pengine kupoteza imani kabisa na dini ile.

Vivyo hivyo suala hili liko kwa viongozi wa vyama vyetu vya upinzani na serikali. Watu wa kati wangependa kuona viongozi wao wanaishi kama wao. Wanahubiri yale wayatendayo
.
 
Ndg ZERO Kuna wengine hapa JF Mbowe kwao ni malaika!!Ukitaka kushambuliwa hapa JF mguse Mbowe!!
 
Tatizo letu watanzania kwa kadri tunavyozidi kusoma(siyo kueleimika)ndivyo tunavyokuwa wajinga zaidi. na hii inasababishwa na kukariri zaidi kuliko kutafsiri tanachokisoma, matokeo yake tunakuwa mashine za kudurufu akili na fikra za watu wengine

Ni kwanini watu hawaelewi kitu kidogo sana cha tofauti kati ya mkopaji na mwizi wa mali ya umma? Hivi kazi za taasisi za fedha katika tanzania ni kuikopesha CCM fedha za kuanzishia mashirika mfu na yasiyo na tija kama SUKITA na meremete? Mbowe dhambi yake ni ipi?

nadhani kama humu kuna tarajiwa kuwa kuna wasomi wa kada mbalimbali na mijadala inaendeshwa kwa kiwango hiki cha uduni namana hii basi muda si mrefu wakoloni watarudi na kututawala tena!
 
Ndg ZERO Kuna wengine hapa JF Mbowe kwao ni malaika!!Ukitaka kushambuliwa hapa JF mguse Mbowe!!

Inawezekana nia na madhumuni ya kuanzisha JF yalikuwa ni mazuri (labda?), lakini huu uharamia wa kila mwenye fedha kuanzisha chombo cha chake cha habari kwa ajili ya maslahi binafsi inanipa wasiwasi mkubwa kabisa kwamba hata hapa JF kuna 'mkono wa mtu' unatumia nguvu ya fedha kwa maslahi binafsi. Fuatilia uchangiaji wa thread hii, tatizo lipo kwa Bw. Mbowe lakini tunatakiwa tumuone kuwa hajakosea. Huyu ni kiongozi wa chama cha siasa ambaye amekuwa akiwania nafasi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi yetu, leo hii kuna hoja ya msingi mnataka kutuambia hilo ni suala dogo, ina maana kuna fisadi malaika na fisadi shetani? We need to know kwanini huyu mheshimiwa si mwaminifu na mwadilifu.

Si dhambi kuhoji yanayomhusu Mbowe.
 
Kama kuna anayefikiri kuwa jambo hili litawafanya mafisadi waweze kulala usingizi hapo mmekosea sana sana .

Kila wakati kwa mtu mweye akili timamu hawezi kutumia mbinu dhaifu kujaribu kuwanaymazisha watu kudai haki zao za kimsingi.

Mbowe,alikopa 15 milioni ,na kwa mujibu wa sheria zetu huwezi kulipa deni kwa zaidi ya 12 % intertest sasa hao NSSF kama wanatka mkopaji alipe 31%interest wanatumia sheria gani hiyo?

Mbowe alishinda hiyo kesi. ila hao MAFISADI wanajaribu kuitumia hii kama turufu ili waweze kumnyamazisha , kwa taarifa yenu hapa hanyamazi mtu na JK ataendelea kushughulikiwa kisiasa hadi atakapochukua hatua dhidi ya mafisadi wetu.

Kumbukeni kuwa awamu ya kwanza ilikuwa na mafisadi 11 naamini mnajua kuwa hadi sasa ni wanagapi tayari wameanguka , tunaendelea mpaka kieleweke mwaka huu.

IGP juzi kasema yupo tayari kufukuzwa kazi kuliko kulazimishwa kukaa na mafisadi ......thata was a very strong message to JK et al ,...juuu ya kuwahifadhi mafisadi ......

Mkuu Heshima mbele. Tanzania ya leo inflation ni more 15% sasa nikikuposha wewe kwa 12% huoni kama napata hasara kwa -2%. Please naomba tusiquote rate kabla hatujafanya analyisis.

Mbowe sio fisadi. Sema mbowe amearibu public trust, mbowe ni politician yaani public icon, sasa kama public icon anadefault loan jee wananchi wafanye nini?

Jamani ni biashara gani ina down kwa 18 years?
 
Suala likiwa mahakamani huwezi kulipa. Unajua mahakama zetu. Kesi hii wameipiga danadana kwa miaka 10 na ni NSSF ndio waliukuwa wanaacha kwenda mahakamani. Lakini Mbowe alipochoka na yeye akaacha kwenda mahakamani ndio order ya kumkamata ikatolewa. Ona double standard. Ni kama ile kesi ya Lissu na Mrema kuhusu Bulyankulu; toka 1996 wakienda wao mahakamani kesi inaahirishwa kwa upande wa mashtaka kutokutokea, wakiacha kwenda wao inatolewa order wakamatwe.

Hebu jiulize, ni toka lini kesi ya madai ambao kampuni ndio inadaiwa pakatolewa order kama hiyo ambayo Menento aliitoa bila ya upande wa pili kuitwa mahakamani?

Hebu fuatilieni kabla ya kusema jamani

Asha
 
Kada:

Hii habari ni ya mwaka gani? Iweje habari ya miaka kadhaa nyuma utuletee leo? Au ni mkakati tu wa kuchafua?

Si ameweka wazi ni vigumu? Kwani amesema haiwezekani?Na hapa alikuwa akivikosoa vyama kama SAU, NLD nk

Hebu acheni udhulufu! Mmeona suala na NSSF hoja yenu umeshindwa kueleweka sasa mnazua vioja. Na kwa kadiri ninavyowajua CHADEMA, kobe akiinama ujue anatunga sheria.

Ngoja wakina Mbowe, Dr. Slaa, Zitto, Lissu na Profesa Baregu watakapomaliza kutunga sheria; you will all be riduculed kwa kuingia mtego wa fisadi Rostam Aziz na Habari Corruption yake. Hebu fuatilieni kidogo ukweli mahakamani kabla ya kusema; mtaonekana wanamdundiko jamani

Asha

sina muda wa kujibu hoja zako wewe na wenzako wa chadema, maana ni tooo chadematic to handle issues ! upo radhi kuona chadema inashinda na sio tanzania kusonga mbele !

NB. sitojibu hoja zako na za wenzako, so keep out !
 
Ndg ZERO Kuna wengine hapa JF Mbowe kwao ni malaika!!Ukitaka kushambuliwa hapa JF mguse Mbowe!!

na nashangaa threads zenye ujumbe tofauti kuhusu mbowe kuchanganywa pamoja, JUST BECAUSE HE IS MBOWE. ama kweli we can never trust anyone, halafu wao ndio wanataka fairness kwenye serikali, fairness my a*s !

lakini tutamkomalia Mbowe haji hapo atakapokuja safi, na kuna ishu anajua mwenyewe alichafua katika uchaguzi mkuu !

watu wanamuabudu sana mbowe, na ile katuni ya wakenya waandishi kumramba kikwete miguu nafikiri ingefit vizuri kama wangeweka JF ikimramba mbowe miguu !
 
Ndg ZERO Kuna wengine hapa JF Mbowe kwao ni malaika!!Ukitaka kushambuliwa hapa JF mguse Mbowe!!

KWANI HUJUI HATA MODS WENGI NI CHADEMA?

KAMA HUJUI JF NI TAWI LA CHADEMA LINGINE NI KLHNEWS YA MWANAKIJIJI HUYU KANUNULIWA KWA DOLA ELFU MBILI.

ANAJIONGEOPEA KUWA MWANAKIJIJI NI ZAIDI YA BBC.CNN NA MICHUZI. MWANAKIJIJI HAWEZI HATA ROBO KUGUSA UWEZO WA MICHUZI BLOG HUU NI WIFU WA KIJINGA.

MICHUZI MSIKILIZE MWANAKIJIJI KWENYE WWW. MWANAKIJIJI.PODOMATIC .COM KWENYE MJADLA WA WALIOIBA EPA ANASEMA MICHUZI SI LOLOTE.

MWAMBIE ULIPOKUWA KWA BOSI WAKE(MBOWE CLUB) NA BWANA MBOWE AKIPIGA PICHA HAKULIPI. AU ANATAKA NA WEWE UMPELEKE MAHAKANI KAMA NSSF?
MICHUZI WEKA PICHA ZA MBOWE KWENYE BLOG YAKO AKIWA NA JEANS ZA MICHAEL JACKSON HII ITASAIDIA KULETA ADABU KWA MWANAKIJIJI NA WAJINGA WENZAKE WA CHADEMA.
LONG LIVE MICHUZI BLOG.
 
MICHUZI WEKA PICHA ZA MBOWE KWENYE BLOG YAKO AKIWA NA JEANS ZA MICHAEL JACKSON HII ITASAIDIA KULETA ADABU KWA MWANAKIJIJI NA WAJINGA WENZAKE WA CHADEMA.LONG LIVE MICHUZI BLOG.

Chinga i respect consructive ideas but words are too bitter.....we have kids jamani.....au JF is labelled KWA WAKUBWA TU....!
 
Hakuna Tusi Hapo Mkuu Wangu.
NIMEKUPATA CHINGA ONE .........MBOWE ATALIPA LINI DENI ILI KULETA HESHIMA YA TZ...?
GARI LA WATU LITARUDISHWA LINI...?
CHINGA TUSAIDIANE ILI PESA ZA WATU ZIRUDI.........!
 
KWANI HUJUI HATA MODS WENGI NI CHADEMA?

KAMA HUJUI JF NI TAWI LA CHADEMA LINGINE NI KLHNEWS YA MWANAKIJIJI HUYU KANUNULIWA KWA DOLA ELFU MBILI.

ANAJIONGEOPEA KUWA MWANAKIJIJI NI ZAIDI YA BBC.CNN NA MICHUZI. MWANAKIJIJI HAWEZI HATA ROBO KUGUSA UWEZO WA MICHUZI BLOG HUU NI WIFU WA KIJINGA.

MICHUZI MSIKILIZE MWANAKIJIJI KWENYE WWW. MWANAKIJIJI.PODOMATIC .COM KWENYE MJADLA WA WALIOIBA EPA ANASEMA MICHUZI SI LOLOTE.

MWAMBIE ULIPOKUWA KWA BOSI WAKE(MBOWE CLUB) NA BWANA MBOWE AKIPIGA PICHA HAKULIPI. AU ANATAKA NA WEWE UMPELEKE MAHAKANI KAMA NSSF?
MICHUZI WEKA PICHA ZA MBOWE KWENYE BLOG YAKO AKIWA NA JEANS ZA MICHAEL JACKSON HII ITASAIDIA KULETA ADABU KWA MWANAKIJIJI NA WAJINGA WENZAKE WA CHADEMA.
LONG LIVE MICHUZI BLOG.

kama kweli alisema hivi basi jamaa ni wivu big time tena kwa kwenda mbele, maana JF imefungwa sehemu ya kwanza kukimbilia ilikuwa kwa michuzi, sasa huu unafiki tena anautolea wapi ?? mhm, makubwa haya !
 
waswahili wanasema fadhila mfadhili punda, au tenda wema nenda zako ukingoja shukrani utakuja kuchelewa safari yako. msikilize UTAJUA jamaa ni mtanbo(chizi) kwani hajui MICHUZI yuko mjini pale miaka kibao.

ameshindwa kuelewa kuwa michuzi blog ipo kwa ajili ya jamii NON PROFIT ORGANISATION. bwana Muhidin Issa wa Michuzi anashughuli zake za kumuingia pesa si blog. wakati Mwenzetu anaishi kwa jambo forums na KLH NEWS(NGO) INABIDI AFAHAMISHWA KUWA MICHUZI HAYUKO BUSINESS ORIENTED ASIMUOGOPE.
 
sina muda wa kujibu hoja zako wewe na wenzako wa chadema, maana ni tooo chadematic to handle issues ! upo radhi kuona chadema inashinda na sio tanzania kusonga mbele !

NB. sitojibu hoja zako na za wenzako, so keep out !

ASANTE UMEMJUA ALIVYOKUWA MNAZI WA MBOWE NA SACOSS YAO (CHADEMA).

NDIO SASA WAMEVAMIA SANA HUMU UTAONA MWANAKIJIJI ANAINGIA NA KANZU MPYA ZA MADELA WA MADILU,KOBA, BEN NA ANA BAZEE LA MWAFRIKA WA KIKE.

NA HUYU ANAYEZAA BAZEE LA ASHA ABDALLAH ALIKUWA AKITUMIA KANZU YA MWANASIASA TULIPOMBANA AKAJA LIVE NA MKUMBO ILA ANA KANZU NYINGINE YA FUNDI MCHUNDO.

LAKINI WANAJIDANGANYA WENYEWE NA KUMUIBIA MBOWE KUWA KUNA WANACHADEMA WENGI WANAJIBU KUMBE WAO WENYEWE.
 
waswahili wanasema fadhila mfadhili punda, au tenda wema nenda zako ukingoja shukrani utakuja kuchelewa safari yako. msikilize UTAJUA jamaa ni mtanbo(chizi) kwani hajui MICHUZI yuko mjini pale miaka kibao.

ameshindwa kuelewa kuwa michuzi blog ipo kwa ajili ya jamii NON PROFIT ORGANISATION. bwana Muhidin Issa wa Michuzi anashughuli zake za kumuingia pesa si blog. wakati Mwenzetu anaishi kwa jambo forums na KLH NEWS(NGO) INABIDI AFAHAMISHWA KUWA MICHUZI HAYUKO BUSINESS ORIENTED ASIMUOGOPE.

yaani in other sense ni kwamba anaogopa kibarua kitaota nyasi ?? teh teh...

enewei acha tumkomalie Budha Mbowe hadi aje alipe mabilioni ya watanzani maskini ! Kwa kukataa kulipa hayo mabilioni keshaturudisha miaka 10 nyuma, so he should take full responsibility for that !
am out !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom